Muda mzuri wa kulala ni saa nne usiku

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,356
1,437
"Ukilala saa nne usiku basi ni lazima utaamka tu ikifika saa nane usiku".

Ni kauli nilizoambiwaga na mwalimu wetu wa madrasa na nilipofanya utafiti mdogo nimethibitisha maneno hayo ni kweli.

Kwanini... Mimi sijui!
 
Nimeamka hapa kidogo naenda kwa toilet kisha narudi kulala,
Saa 12 kasoro nipo macho

Sasa sijui ni kwel
 
Duuh. Kwaiyo ume-prove kabisa..😀😀,ngoja kesho nitajaribu tuone uwongo wako!
 
"Ukilala saa nne usiku basi ni lazima utaamka tu ikifika saa nane usiku".

Ni kauli nilizoambiwaga na mwalimu wetu wa madrasa na nilipofanya utafiti mdogo nimethibitisha maneno hayo ni kweli.

Kwanini... Mimi sijui!
Hii ni kweli na muda huo ambao unakuwa umeshtuka ndio muda wezi wanaupenda kwasababu wengi wanaolala saa sita au Saba wanakuwa kwenye usingizi mzito.
 
"Ukilala saa nne usiku basi ni lazima utaamka tu ikifika saa nane usiku".

Ni kauli nilizoambiwaga na mwalimu wetu wa madrasa na nilipofanya utafiti mdogo nimethibitisha maneno hayo ni kweli.

Kwanini... Mimi sijui!
Sabaya ameshalala muda huu!!! Sisi bado tunachat!!! Ndo maisha yalivyo!!
 
Back
Top Bottom