Muda mwingine mchepuko unaweza kuwa wa faida

Haya mambo yanatokea Tanzania hiii kama sio chai?
Hili jambo nirahisi sana kusoma humu jf lakini omba sikukute kabisa!
Hivi kweli uibe mke wa mtu halafu uwe na ujasiri wa kuongea hivyo na mume wake sio mchezo aiseeee.....
Yani mke wako atembee na mtu mwingine halafu upate ujasiri wa kuongea na mtu anayetembea na mkeo tena kwa amani hivi aiseee ...
 
Naheshimu madanga ya mke wangu Mimi maana ndo yananipa faida.......
 
Hakuna mwanaume anaeweza kukubaliana na mtu/mwanaume mwenzie anae mnyanganya tonge lake mdomoni hata kama amemchoka huyo mwanamke.

Nasema HAKUNA...
Naheshimu madanga ya mke wangu Mimi maana ndo yananipa faida.......
 
Nimekumbuka tamthilia ya Kilio Chetu jinsi Joti alivyomlainisha Suzy. Yule mtunzi atakuwa nduguyo.
 
Haya...
Screenshot_20220130-154515_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom