Muda muafaka kuandika urithi mapema kupunguza usumbufu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Tumekuwa na kampeni nzuri kuelimisha watu Covid-19 na kujilinda

Nichukue mda huu kuomba serikali kutoa elimu ya Urithi; nini kiandikwe, nani anatakiwa kuwepo kama shahidi.

Bado tuko wimbi la tatu ushauri. Tukielekea la nne watu wajitahidi kuandika urithi mapema. Kupunguza usumbufu vikao vya mirathi. Mbarikiwe.

Mwenye idea na vinavyotakiwa, tupeane hapa.

Ikiwezekana na watumishi wa Mungu wasisitize watu kujifunza kuandika urithi Mapema. Simaanishi kaka Max aniandikie urithi wa JF.

Mlio na familia wekeni mizigo mezani.
 
Mshanaaa kasoma katoa na betri kabisa kha
 
Back
Top Bottom