Muda muafaka madalali wote wawe registered serikali tupate kodi yetu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wakati muafaka sasa hawa watu kuanzia kulipa kodi serikalini kama wanavyolipa wengine. Napendekeza serikali kuanza kutoa tangazo la wote kuwa registered. Else wasiruhusiwe kamwe kujishugulisha na uuzaji wa mali zozote.
 
Watu wa mitaani hao ni ngumu kuwapata.
Labda pango lianze kutozwa kodi. Labda kuwe fomu maalum ya kupangisha na jina la dalali liwepo
 
Back
Top Bottom