Muda gani sahihi Ndoa inatakiwa kujibu!!

Muda sahihi ni ule sperm yenye afya inapokutana na ovum iliyonona... Lazima ijibu
 
Yaani nyie jamaa mnaivuruga sana JamiiForums,hivi kweli kwa akili tu za kawaida mlichokiandika hapa kinahusiana na alichoki-post mleta mada?

Kuweni na kiwango cha utani siyo kila saa ni muda wa utani huyu ana matatizo tena makubwa cha kushauri huna unakaa kimya.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ukishauri asiyeshaurika ni sawa na kufundisha asiyefundishika sisi wana JF tunamuacha atafunzwa na ulimwengu, ama embu mshauli na ww tuone kama atashaulika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishauri asiyeshaurika ni sawa na kufundisha asiyefundishika sisi wana JF tunamuacha atafunzwa na ulimwengu, ama embu mshauli na ww tuone kama atashaulika..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimemwelewa ila ushauri wa kumpa sina kwa sababu siyo mtaalam wa afya mbona kuna ambao wameshauri hapo juu ina maana wao kiswahili hawakijui?

Hao niliowa-quote pale juu walichokiandika kiliendana na content ya uzi?tatizo kila mmoja anataka kuonekana BAKITA humu muhimu shauri unavyoweza kama ushauri hatouchukua ni juu yake.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom