God knows
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 275
- 173
Kuna Bwana mmoja ameoa. Bwana huyo ni mfanyakazi wa ofisi moja ya serikali na mkewe ni mama wa nyumbani:
Habari kutoka kwenye chanzo cha umbeya zinasema kwamba:
Bwana huyo hufika nyumbani akitokea kazini mida kama ya saa kumi na moja jioni hivi. Akifika tu humwita mkewe chumbani kwa ajili ya kufanya mapenzi. Zoezi hilo ni la jioni ukiachana na shughuli ya usiku ambayo huwa nzito zaidi.
Kinachomuuma mwanamke huyo ni kwamba anaweza akawa anapiga stori na mashoga zake nje. Mmewe akifika tu anaita "mama nanii!". Mwanamke huyo akiingia tu ndani hawezi kutoka tena nje. Mwanzoni mashoga zake walikuwa wanashindwa kumwelewa lakini ikawabidi wazoee. Siku hizi wakiona Baba fulani anarudi kutoka kazini wanajua muda wa kazi tayari hivyo kikao chao inabidi kiishe kwa sababu mwenyeji wao inabidi akafanye majukumu ya kindoa.
Sasa wana JF, naomba kuuliza kama hicho kitu na sahihi au inatakiwa kuwe na specific time kwa wanandoa kufanya mapenzi!