nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 71
Nimekuwa nikifanya utafiti katika vyuo vyetu hapa nchini lakini kwa hili mnalolifanya nia dhambi kubwa kwetu sisi wazazi,kutokana na serikali kuanzisha bodi ya mikopo sio wote wanapata,sisi wazazi tunaamua kulipa kutokana mishahara yetu kidogo kidogo ndani ya semista moja tunakuwa tumekamilisha ada ya semista hatuna uwezo wa kulipa kwa mkupuo,hawa jamaa wanawasumbua vijana wetu kwa hili,lingine ambalo nia baya zaidi ni pale tunapolazimishwa kulipia matibabu ya TZS 100,000. hili halikubaliki kama nimemkatia bima ya afya kuna haja gani ya kulipa tena chuoni?huu si wizi au mimi mzazi wake ninamlipia ada na wala haitoki serikalini na ni mkazi wa Moshi na kijana anakaaa nyumbani kwanini nilipe huku huduma za afya zinagharamiwa na mzazi wake huu sio wizi