AMOS JANUARY
Member
- Aug 13, 2013
- 16
- 3
Namshukuru mungu kunipa nafasi ya pekee kutafakari hiyo slogan kw muda mwing mno isemayo mubaya alishazaliwa? Nikwel kwmb mubaya tayari alishazaliwa kw vigezo vifuatavyo first kuna m2 aitwaye mwizi, mchawi, mula rushwa, muaji hawa wote si wa2 wazuri. Je! Wewe kw fikira zako unahic mubaya tayari aliishazaliwa?