Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
misri haitakalika tena
Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
No empire has ever lasted forever, otherwise that could be a god then. Msipoiachia nchi kwa hiyari basi mjue mnatafuta kufa kigadafi. Subirini muone. If you people can learn from history then what is the use of tomorrow?Cdm bana mna mawazo finyu km punje ya mchanga, mnadhania nchi inachukuliwa kwa kutumbukiza vikaratasi kwenye visanduku tu, ni zaidi ya hapo. Mtaiota sana nchi hii , hatuwapi nchi hii wahuni
Jamani kweli nyerere alistahili kunyongwa ana bahati ametangulia haraka.Hii nchi haikustahili kupewa uhuru mapema wakati hata kujiandaa tulikuwa hatujajiandae uchumi ndo ulikufa mikononi mwa nyerere na sera zake za ujamaa.Ila nikifikiria umoja aliotuachia ndo msamaha wangu kwake unanijia kazee kalijitahidi kutuweka pamoja.
Wewe umerogwa?na pia unachekesha bila ya Nyerere sasa hivi ungekua unabwabwaja hapo?kama huna hoja kakojoe ulake.Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
Cdm bana mna mawazo finyu km punje ya mchanga, mnadhania nchi inachukuliwa kwa kutumbukiza vikaratasi kwenye visanduku tu, ni zaidi ya hapo. Mtaiota sana nchi hii , hatuwapi nchi hii wahuni[/QUOTE0}Tumekusikia..nenda upumzike kwa amani.
wewe wacha kukurupuka umeamkaje ?habari za asubuhi ? Mwalimu nyerere hatuwezi mlaumu tugange yajayo ndugu akili yake ndio ilifika hapo na tena hakuiba vitu nakujilimbikizia mali kama wenzake ,hakuwa msomi kama unavyofikiri angalia sasa watu wamesosoma na ndio wezi wameigeuza ikulu nyumba zao na watoto wao,hao ndo wakunyongwa sio nyerere ,hakuna kwa hiyo wewe kama baba ukiharibu familia wote wachini yako nao waendelee na mfumo wako?jibu ni hapana wangetengua na kuinyoosha mifumo hiyo sasa.na pia wakunyongwa ni watanzania waliochagua viongozi mbumbumbu??////?mtoa mada achana na masuala ya muungano.acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni mwalimu nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
Ww umaskini ulio nao ambao umesababishwa na yeye Mwl, Nyerere ww huoni huo ni wizi tosha? kuchukua rasilimali ya nchi na kumpa jirani yako bila idhini ya mwenye mali aka mwananchi huo sio wizi ? funguka kijana Nyerere ndio chanzo cha nchi hii kuwa maskini
Utawala wa mabavu una mwisho. Jk naye aanze kufanya warm up ya kuface mkono wa sheria!
Tena huyu anatakiwa kunyongwa yeye pamoja na Mkapa....
Na huyu wa awamu pili Ali Hassan afunge takrban 30yrs gerezani!
Kwani aliwakaribisha mafisadi kwa namna ya kipekee ambapo huyu fisadi (mafisadi) kama Mkapa wakapandikiza maradufu!
Baada ya uchaguzi tutaandama kwa maandamano makubwa kwenda ikulu kwa Dr Slaa kutaka viongozi wote wa serikali ya jk wafungwe maisha au wanyongwe.Alistahili,bado Jakaya mwaka 2015,2tamwondolea imunity
Umesahau kuwa Mkapa ndiye aliyemuua Nyerere iliaweze kubinafsisha mashirika ya umma na kuwapa Wazungu migodi yetu ya Dhahabu. Mkapa anastahili kunyongwa.Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
CCM hawana uwezo wa kuwapa au kutowapa nchi chama kingine.
Watanzania wameshaamua kuipa chadema utawala wa nchi hii.
Anzeni kujifunza kuwa wapinzani nyie magamba.
Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
Na Mkaahapa anastahili adhabu gani?
sasa unalaumu marehemui nifunguke kulaumu marehemu na mimi nionekane pimbi hasha am geneous enoughHatuwezi kufunguka kwa mawazo yako yasio ma mbele wala nyuma!unamtafutia nn Mw nyerere???kosa lake lipi yy ndo mwanzilishi wa vitu vingi vilivyofia mkononi mwa Mwinyi na Mkapa!unajua kama sera yake ya ujamaa iliyokataliwa na viongozi wetu ndio iliyowafikisha china leo hii walipo???ww ndo funguka kuna nn kipya kimetengenezwa??Reli si unaziona ni mawazo ya kina nani je kuna Reli mpya imejengwa??kua kijana acha kukurupuka pasipo kujua na nyie ndo mnaotuulia nchi yetu mkishindwa nda ohohhh mara hivi mara hv!viongozi wetu wa leo ndo tunapaswa kuwauliiza wamefanya nn????????????muulize Rais wako JK
We jiongelee mwenyewe,watanzania gani wanaotaka kutawaliwa na wahuni?CCM hawana uwezo wa kuwapa au kutowapa nchi chama kingine.
Watanzania wameshaamua kuipa chadema utawala wa nchi hii.
Anzeni kujifunza kuwa wapinzani nyie magamba.