Mubarak ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
hukumu ya kibaraka wa Marekani imesomwa muda huu. Hosni Mubarak kwenda jela MAISHA kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Wananchi washangilia hukumu ya haki kwa kibaraka aliyewakandamiza kwa miaka 30.

_60658646_014919536-1.jpg


An Egyptian court has sentenced ex-President Hosni Mubarak to life in prison for complicity in the killing of protesters during last year's uprising.

The 84-year-old is the first former leader to be tried in person since the start of the Arab Spring in early 2011.

But Mubarak suffered a "health crisis" as he was being transferred to prison, Egyptian state TV reported.

Former Interior Minister Habib al-Adly also got a life sentence, but the acquittal of four aides sparked fury.

Mubarak and his two sons were also acquitted on separate charges of corruption.

Shouting and scuffles erupted in court after the verdict was read out.

Angry Shouts

Outside the building, Mubarak's sentencing was initially greeted by celebrations from relatives of those killed, according to the BBC's Yolande Knell.

Firecrackers were set off. Soha Saeed, the wife of one of the victims, shouted: "I'm so happy. I'm so happy."

But the joy soon turned into angry shouts as the crowd learned that the four senior security officials had been acquitted.

Protesters clashed with riot police. Many headed for Cairo's Tahrir Square, which was a leading focus in the protests that toppled Mr Mubarak. The verdict also sparked angry demonstrations in Suez.

As Mubarak was being transferred from the courthouse to the hospital of Tora prison, near Cairo, state television reported that the former president suffered a "health crisis".

The BBC's Jon Leyne in Cairo says it is difficult to interpret the nature of this particular incident, but adds that Mubarak has had regular health lapses in the past.

Since his trial began last August, he has been held in the International Medical Centre outside the capital, as his lawyer said he was in poor health. Tora prison is where a number of figures from the former government are serving jail sentences for corruption.

Mubarak's sons, Alaa and Gamal, are to remain in detention despite their acquittal because they are to go on trial on charges of stock market manipulation.
'Years of darkness' In his preamble, Judge Ahmed Refaat insisted the 10-month trial had been a fair one.

He spoke of the Mubarak era as "30 years of darkness" and praised what he called "the sons of the nation who rose up peacefully for freedom and justice".

Announcing the verdicts, the judge then said Mubarak and Adly had failed to stop security forces using deadly force against unarmed demonstrators.

Mubarak, who ruled the country from 1981 to 2011, had faced a possible death sentence over the killing of about 850 protesters.

Egypt's Muslim Brotherhood - the main opposition force under Mubarak's rule - said the defendants must be retried.

"The public prosecutor did not carry out its full duty in gathering adequate evidence to convict the accused for killing protesters," said Yasser Ali, a spokesman for brotherhood.

The prosecution experienced difficulties during the trial. Its first five witnesses recanted initial statements that police commanders had been ordered to use live ammunition against demonstrators.
But presidential candidate and Mubarak's last prime minister, Ahmed Shafiq, said that the verdicts "must be accepted".
The ruling comes as political tensions are rising in Egypt between the two rounds of voting in a presidential election.

Correspondents say many of Egypt's revolutionaries are bitterly disappointed by the choice they now face - between a Muslim Brotherhood candidate, Mohammed Mursi, and Mr Shafiq.

The first leader toppled during the Arab Spring was Zine al-Abidine Ben Ali of Tunisia, who was found guilty in absentia of drugs and gun charges in July.

Libyan leader Muammar Gaddafi was killed by rebels in October. Yemen's Ali Abdullah Saleh received immunity from prosecution after handing over power in November.


http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-18306126
 



A court in Cairo has sentenced Egyptian ex-President Hosni Mubarak to life imprisonment for complicity in the killing of demonstrators during last year's uprising.
The 84-year-was convicted after a 10-month trial in a special court.
Mubarak is the first former leader to be tried in person since the start of the Arab Spring in early 2011.
The judge suspended the session as shouting and scuffles erupted in court after the verdict was read out.
Mubarak, who ruled the country for 30 years, had faced a possible death sentence over the killing of about 850 protesters by security forces last year.
But critics had argued that the investigation had been flawed.
Witnesses withdrew initial statements that police had been ordered to use live ammunition.
Judge Ahmed Refaat insisted the trial had been a fair one, and said Egyptian people had suffered 30 years of darkness under Mubarak's rule.

pls mods correct my Tittle I mean IMPRISONMENT.
 
Utawala wa mabavu una mwisho. Jk naye aanze kufanya warm up ya kuface mkono wa sheria!
 
Tena huyu anatakiwa kunyongwa yeye pamoja na Mkapa....

Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.
 
Acha lugha za uchochezi ww, katika watu waliostahiki kunyongwa ni Mwalimu Nyerere , yeye ndio matatizo yote tuliyonayo sasa ametusababishia yeye, ya muungano, umaskini kwa kuchukua rasilimali zetu kwenda kuuupigania vita vya kagera na ukombozi wa nchi za kiafrika. Halafu leo mlivyo vipofu eti mnataka kumtangaza mtakatifu, na maovu yote hayo.

Anyogwe akiwa kaburini? yeye aliiba nini? kumsaidia jirani yako unatakiwa unyongwe? Mkapa na JK wanatakiwa kitanzi hilo halina ubishi
 
Utawala wa mabavu una mwisho. Jk naye aanze kufanya warm up ya kuface mkono wa sheria!

Cdm bana mna mawazo finyu km punje ya mchanga, mnadhania nchi inachukuliwa kwa kutumbukiza vikaratasi kwenye visanduku tu, ni zaidi ya hapo. Mtaiota sana nchi hii , hatuwapi nchi hii wahuni
 
Jamani kweli nyerere alistahili kunyongwa ana bahati ametangulia haraka.Hii nchi haikustahili kupewa uhuru mapema wakati hata kujiandaa tulikuwa hatujajiandae uchumi ndo ulikufa mikononi mwa nyerere na sera zake za ujamaa.Ila nikifikiria umoja aliotuachia ndo msamaha wangu kwake unanijia kazee kalijitahidi kutuweka pamoja.
 
Jamaa anajiweka karibu na Wamerekani akifikiri wanaweza kumsaidia endapo mambo yatakwenda mrama hahahaha. Anatakiwa ajifunze, Americans have neither permanent friends nor permanent enemies but permanent interest.!!
 
Anyogwe akiwa kaburini? yeye aliiba nini? kumsaidia jirani yako unatakiwa unyongwe? Mkapa na JK wanatakiwa kitanzi hilo halina ubishi

Ww umaskini ulio nao ambao umesababishwa na yeye Mwl, Nyerere ww huoni huo ni wizi tosha? kuchukua rasilimali ya nchi na kumpa jirani yako bila idhini ya mwenye mali aka mwananchi huo sio wizi ? funguka kijana Nyerere ndio chanzo cha nchi hii kuwa maskini
 
Cdm bana mna mawazo finyu km punje ya mchanga, mnadhania nchi inachukuliwa kwa kutumbukiza vikaratasi kwenye visanduku tu, ni zaidi ya hapo. Mtaiota sana nchi hii , hatuwapi nchi hii wahuni

CCM hawana uwezo wa kuwapa au kutowapa nchi chama kingine.
Watanzania wameshaamua kuipa chadema utawala wa nchi hii.
Anzeni kujifunza kuwa wapinzani nyie magamba.
 
Back
Top Bottom