Muasisi wa Tanganyika African National Union ametutoka

Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
8,935
6,844
Chief Patrick Kunambi mmoja wa waasisi wa TANU amefariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu sehemu pema peponi na awape faraja wote aliowaacha.

Amandla.....
 
RIP Mzee Kunambi, hii ni group ya kina sykes, aziz ally, barongo, Peter Kisumo etc
 
RIP Mzee Kunambi, hii ni group ya kina sykes, aziz ally, barongo, Peter Kisumo etc

Peter Kisumo sio miongoni mwa waasisi wa TANU yeye alikuja kujiunga baada ya Uhuru! soma historia ya TANU na waasisi wake:
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-tanu-na-harakati-za-kupigania-uhuru-46.html

Peter Kisumo alijiunga na TANU baada ya uhuru na kupewa kazi ya Waziri wa Tawala za Mikoa na maendeleo vijijini 1970-75 na baadae kuwa Mkuu wa mkoa Kilimanjaro 1975-80 soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-tanu-na-harakati-za-kupigania-uhuru-46.html
 
Apumzike kwa amani katika nyumba yake ya milele na aendelee kuiombea CCM iache ufisadi ili ifuate misingi waliyo-iasisi!
 
RIP chief Kunambi, may the Lord rest your soul in eternal peace.
 
Jaman ila tanzania tuna mambo,ina maana hawa wazee (waanzilishi wa tanu) kuna ambao wapo hai mpk saiv?kweli me nlijua walishakufa wote.

I think ts tym kuandika historia yetu upya na kua na museum ya watu kma hawa,mana saiv historia yetu inakufa na kazazi icho mana watu apart from nyerere hakuna mpigania uhuru mwingine anaye julikana na kizazi cha sikuhizi.

Maana watu hawaelezwi watu kama hawa waliifanyia nn nchi na historia yao haijaandikwa wala haijawa exhibited
 
Back
Top Bottom