Muasisi CCM: Rais asiwe Mwenyekiti wa Chama

Kama walimwona ndo mtu pekee wa kuwavusha mwaka jana iweje leo hawamtaki kumpa chama. Yawezekana wakawa wameanza kujisahau tayari lakini waangalie vizuri, wasijidhanie wamesimama angali wanachechemea. JPM ndo mtu sahihi wa kuinyoosha CCM na kama wameona wana hoja hiyo basi waweke matazamio kwa muhura ujao kwa atakayefatia na si kwa wakati wa JPM
 
Mmoja kati ya waasisi wa CCM Mzee Ibrahim Kaduma ameunga mkono hoja ya Rais kutokuwa Mwenyekiti wa Chama.Hayo yalijiri jana akichangia katika muadhara wa Kigoda cha Mwalimu.Akichambua kwa hoja Mzee huyo alisisitiza kuwa ni mda muafaka sasa kuwa na Mgawanyo wa Majukumu.
Hawa wazee kama mimi kweli ni SPENT FORCE" let them take car of their grandchildren
 
kweli gwajima hakukosea,hii nguvu ya kutenganisha chama na uraisi inatoka kwa nani?
 
Nimegundua na wapinzani wa CCM hawapendi JPM awe M/Kiti, sababu wanajua atakuja kufanya mabadiliko, Chama kitakua cha kisasa, kitajitegemea kweli kweli, hakitakua na makando kando, hivyo mwisho wa siku upinzani utakosa Hoja ya kuisema CCM..
JPM go go go tulinadi na tulieleza Mabadiliko ya kweli na Magufuli, Na mwanga tunauona
 
Yaani hawa jamaa walituamimisha awe Rais wa nchi lakini kumpa chama hawamuamini.Ina maana chama ni bora kuliko nchi?
 
Ndio sio vibaya,lakini kwa nini sasa?Ni wazi agenda hii imeibuliwa na wanaochukia mkakati pendwa wa JPM wa kutumbua majipu.Wengine kama mzee wetu Kaduma wanadandia tu.Ni vema mzee wetu huyu akawa makini asije akajiingiza kwenye jambo asilolijua undani wake.
Mmoja kati ya waasisi wa CCM Mzee Ibrahim Kaduma ameunga mkono hoja ya Rais kutokuwa Mwenyekiti wa Chama.Hayo yalijiri jana akichangia katika muadhara wa Kigoda cha Mwalimu.Akichambua kwa hoja Mzee huyo alisisitiza kuwa ni mda muafaka sasa kuwa na Mgawanyo wa Majukumu.
 
hahahahahhaa, duh kweli magu anatasha, yaani hadi waasisi wanaogopa jamaa kukabidhiwa rungu!! .....keep on going magu usirudi nyuma, nchi ilipinda sana hii mithiri ya bega la teja.....nyoosha ngosha nyoosha.
mwenzetu wewe naona kwenu mna sukari
 
Back
Top Bottom