Muangalieni Ester Mwakijambile wa bss 2013 kwenye moja ya show zake

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
DSCN9915.JPG
NI POZI AMA TEGO

MI SISEMI LEO,NAWAACHIA NYIE
 
Dah..sio Ester mkuu...huyo sio Maina kweli?hata hivyo yule Mwakijambile jina lake ni Elizabeth..

Dah...ila hilo pozi ni hatari tupu.
 
Kuna Watu wanakurupuka hakuna mshiriki wa EBSS 2013 aliekuwa anaitwa Esther Mwakijambile bali Elizabeth Mwakijambile na tena huyo kwenye picha sio yeye... Mi nlifikiri makanjanja ni Global publishers kumbe hata JF wapo
 
Kwa kudanganya umenufaika nini ?

Kwanza aliitwa Elizabeth sio Easter.....pilli hata hafananii hivyo kwa hiyo pichani sio yeye.
 
Back
Top Bottom