Mualiko kwa waislam

Allah's Slave

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
564
Points
0

Allah's Slave

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
564 0
Jamani mlioko Ughaibuni waislam wenzangu nimetumiwa mualiko huo kwa email na mtu ambae nafanya nae biashara(Mwaminifu). Na mimi nawakilisha. Kiingilio ni bureee na elim kibao utapata. Pia kama kuna mikutano kama hii hapa Dar naombeni mniarifu na mimi ntatia timu.Msisahau kutuhadithia mtakaoweza kwenda huko.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.(Q3:19)
Kumbuka elimu haina mwisho. Nendeni mkaelimike badala ya kusherehekea Pasaka.
 

Forum statistics

Threads 1,367,583
Members 521,773
Posts 33,403,767
Top