Mualiko Hafla Ya Kuchangia mfuko wa Benki Peacock Hotel 20/10/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mualiko Hafla Ya Kuchangia mfuko wa Benki Peacock Hotel 20/10/2010

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Shy, Oct 6, 2010.

 1. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Napenda Kukualika katika Mjumuiko wa wanabidii katika hoteli ya Peacock iliyopo Dar es salaam , Barabara ya Bibi Titi Pembeni mwa Viwanja vya Mnazi Mmoja .


  Lengo la Mjumuiko huu ni kuwa na Sherehe ya Pamoja na Wanabidii wenzako pamoja na Kuchangia mfuko wa Benki ya wanabidii ambayo Iko katika hatua mbalimbali za Maandalizi yake .


  Tarehe : 20 Mwezi wa 10 Kuanzia saa 1 Usiku
  Kiingilio ni shilingi Elfu 30 Pamoja na chakula cha siku hiyo
  Elfu 5 itaenda kwenye mchango wako wa Benki ya wanabidii .
  Kutakuwa na vyakula orodha yake iko kwenye attachment vya asili ya afrika mashariki .


  Unatakiwa kuthibitisha Ushiriki wa Mjumuiko huu Siku 5 Kabla ya Siku yenyewe .

  Maswali zaidi  Mradi wa Benki Piga 0786 786724  Kuhusu Mjumuiko Huu na Viingilio 0787984842

  Karibu wewe , ndugu na jamaa yako kwa ajili ya shuguli hii muhimu na maalumu kama mwanabidii .
   

  Attached Files:

 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 504
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wanabidii ndio kina nani?
   
 3. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
Loading...