Muafrika Atwaa Taji la Urembo wa Mashoga wa Dunia

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Muafrika Kusini Atwaa Taji la Urembo wa Mashoga wa Dunia
4075794.jpg

Charl Van den BergMonday, February 15, 2010 12:40 AM
Mwanaume toka Afrika Kusini amefanikiwa kulitwaa taji la mashindano ya urembo wa mashoga wa dunia 'Mr Gay World Pageant' yaliyofanyika jana jumapili mjini Oslo nchini Norway.Charl Van den Berg, 28, shoga toka Afrika Kusini aliwafunika mashoga wenzake toka Australia, Hong Kong, China na Hispania na kutwaa taji la dunia la kumtafuta mwanaume shoga mrembo kuliko wote duniani kwa mwaka 2010.

Charl ambaye anaendesha mgahawa wa chakula mjini Cape Town nchini Afrika Kusini alitwaa taji hilo baada ya mashindano ya siku nne ya kuvaa mavazi mbalimbali yakiwemo mavazi ya kuogelea.

Taarifa ya waandaaji wa mashindano hayo ilisema kuwa dhumuni kubwa la mashindano haya ni kumtafuta mtu atakayekuwa kiongozi wao katika kutetea haki za mashoga duniani.

Xiaodai Muyi, 26, shoga toka China alishiriki na kushika nafasi ya nne katika mashindano hayo pamoja na hatua za China kumzuia asishiriki mashindano hayo.

Mamlaka za China ziliyapiga marufuku mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa China katika mashindano hayo.

Xiaodai aliingizwa kisiri kwenye mashindano hayo ambayo wanaume 20 toka nchi mbali mbali duniani walishiriki kumtafuta mrembo baina yao.

Ushoga ulikuwa ni kosa la jinai nchini China hadi mwaka 1997 wakati sheria zilipobadilishwa na kuwahesabu mashoga ni watu wenye matatizo ya akili.

Raia wa Australia Byron Adu, 25, alishika nafasi ya pili akifuatiwa na Rick Dean Twombley, 33, mcheza dansi toka Hong Kong aliyeshika nafasi ya tatu huku Mhispania Sergio Lara, 26, akishika nafasi ya tano.

Mashindano ya kwanza ya kumtafuta mrembo wa dunia wa mashoga yalifanyika mwaka jana nchini Kanada ambapo mwanaume toka Ireland alitwaa taji hilo.
 
Bwabwa umerudi kwa kasi kubwa sana, ulikuwa wapi? Habari zako tulikuwa tunazimiss, vipi wewe hukwenda kushiriki hayo mashindano?
 
to be honest... i am homophobic!! do i need to see a doctor for that?? hell no!!
 
Kwa hiyo Bongo iliwakilishwa na nani?? Kwa nini bwabwa usiende kutuwakilisha na sisi tuwe katika medani za kimataifa..
 
to be honest... i am homophobic!! do i need to see a doctor for that?? hell no!!

whaaat?are u one of BWABWAS?

Babu nadhani hujamuelewa De Novo yaani anamaansha yuko against sana na kitu hicho yaani kwa kifupi he has a strong aversion against the matter. De Novo kama watu wa aina hiyo wanaenda kwa Dr basi na mimi nitaongozana nawe manake ni kichefuchefu
 
Kama aliyeshinda ni huyo pichani basi sio Mwafrika bali ni Makaburu.
 
whaaat?are u one of BWABWAS?

Soma vizuri uelewe... i dont like homo... that is what i meant, sasa ukiwa unachukia ma =bwabwa ndio unakua bwabwa?

sipendi kabisa mambo ya mashoga kwa sababu yameandikwa hata kwenye maandiko kwamba ushoga ni kitu hovyo
 
aaha ok sorry nimekurupuka sikukuelewa,anyway tuko pamoja,i just hate them completely.
 
Babu nadhani hujamuelewa De Novo yaani anamaansha yuko against sana na kitu hicho yaani kwa kifupi he has a strong aversion against the matter. De Novo kama watu wa aina hiyo wanaenda kwa Dr basi na mimi nitaongozana nawe manake ni kichefuchefu

nashkuru mkuu kwa kunielewa na pia kuwa mmoja wa watu wanaochukia hiyo tabia... pia nadhani huyo mwafrika ameshinda ili kupromote usenge huku afrika...
 
Muafrika Kusini Atwaa Taji la Urembo wa Mashoga wa Dunia
Ushoga ulikuwa ni kosa la jinai nchini China hadi mwaka 1997 wakati sheria zilipobadilishwa na kuwahesabu mashoga ni watu wenye matatizo ya akili.
Kama wewe ulivyo na matatizo ya akili
 
Bora niwe banned kuliko kusoma posts za BWABWA.

kama wanaume wanashindania urembo sasa wanawake watakuwa na kazi gani? gadem
 
I don't like this! I hate this! But they are human being! We live with them and we have to!!
 
So sad, yaani ukiangalia kwa wastani unakuta asilimia kubwa ya watajwa hapo wanafall kwenye 20s' unapata msg gani hapo?
 
So sad, yaani ukiangalia kwa wastani unakuta asilimia kubwa ya watajwa hapo wanafall kwenye 20s' unapata msg gani hapo?
Tuwasaidie watoto wetu waache kutumia muda mwingi kuangalia vipindi vya TV.Wajifunze kufanya kazi za mikono na ktumia muda mwingi kuwasaidia kujenga skills za kuwa wanaume halisi wakikua. Hizi tabia nyingine zinachangiwa sana na malezi tunayowapa watoto wetu miaka hii. Kutwa kushinda jikoni na kuangalia TV.
 
Back
Top Bottom