Muafrika Atwaa Taji la Urembo wa Mashoga wa Dunia

honestly,mie nadhani huyu bwabwa sio binadamu bali ni LUCIFER mwenyewe anakaa ktk keybord na kupromote huu ufirauni,maana kwanza kajiita BWABWA ili tulizoee hilo jina na kuliona la kawaida..halafu anakuja speed sana na haya mapost ya aina hii..what is ur motives behind these posts.kama wewe bwabwa sio lucifer basi ni agent wake and u real need help to free yourself from this..Ooooh lord i hate to even think that this exist!!!
 
But in today's world, especially if you are working for global companies, there are policies for inclusiveness, tolerance and so forth, which force everybody to comply. One of the items that is in the policies is the right of individuals to be who they want to be.
Ndo hivyo sasa tutafanyaje? I dont understand!
 
muafrika kusini atwaa taji la urembo wa mashoga wa dunia
4075794.jpg

charl van den bergmonday, february 15, 2010 12:40 am
mwanaume toka afrika kusini amefanikiwa kulitwaa taji la mashindano ya urembo wa mashoga wa dunia 'mr gay world pageant' yaliyofanyika jana jumapili mjini oslo nchini norway.charl van den berg, 28, shoga toka afrika kusini aliwafunika mashoga wenzake toka australia, hong kong, china na hispania na kutwaa taji la dunia la kumtafuta mwanaume shoga mrembo kuliko wote duniani kwa mwaka 2010.

Charl ambaye anaendesha mgahawa wa chakula mjini cape town nchini afrika kusini alitwaa taji hilo baada ya mashindano ya siku nne ya kuvaa mavazi mbalimbali yakiwemo mavazi ya kuogelea.

Taarifa ya waandaaji wa mashindano hayo ilisema kuwa dhumuni kubwa la mashindano haya ni kumtafuta mtu atakayekuwa kiongozi wao katika kutetea haki za mashoga duniani.

Xiaodai muyi, 26, shoga toka china alishiriki na kushika nafasi ya nne katika mashindano hayo pamoja na hatua za china kumzuia asishiriki mashindano hayo.

Mamlaka za china ziliyapiga marufuku mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa china katika mashindano hayo.

Xiaodai aliingizwa kisiri kwenye mashindano hayo ambayo wanaume 20 toka nchi mbali mbali duniani walishiriki kumtafuta mrembo baina yao.

Ushoga ulikuwa ni kosa la jinai nchini china hadi mwaka 1997 wakati sheria zilipobadilishwa na kuwahesabu mashoga ni watu wenye matatizo ya akili.

Raia wa australia byron adu, 25, alishika nafasi ya pili akifuatiwa na rick dean twombley, 33, mcheza dansi toka hong kong aliyeshika nafasi ya tatu huku mhispania sergio lara, 26, akishika nafasi ya tano.

Mashindano ya kwanza ya kumtafuta mrembo wa dunia wa mashoga yalifanyika mwaka jana nchini kanada ambapo mwanaume toka ireland alitwaa taji hilo.

hii ni aibu kubwa sana kwa jamii ya kiafrika.
 
Bwabwa,
BWANA YESU anakupenda na uwezo u-mikononi mwake wa kukubadilisha na kukutoa katika maangamizi ya jehanamu ya milele yaliyo mbele yako. Mwamini YEYE leo naye atakufanya kuwa kiumbe kipya. Achana na shetani ni mwongo, mdanganyifu na mwuuaji. Mkimbie leo na umkimbilie YESU leo. Karibu sana kwa YESU.
 
honestly,mie nadhani huyu bwabwa sio binadamu bali ni LUCIFER mwenyewe anakaa ktk keybord na kupromote huu ufirauni,maana kwanza kajiita BWABWA ili tulizoee hilo jina na kuliona la kawaida..halafu anakuja speed sana na haya mapost ya aina hii..what is ur motives behind these posts.kama wewe bwabwa sio lucifer basi ni agent wake and u real need help to free yourself from this..Ooooh lord i hate to even think that this exist!!!

queenkami,jua hili ya kuwa Lucifer anao maajenti waliotapakaa kila sehemu.Mungu atusaidie
 
Muafrika Kusini Atwaa Taji la Urembo wa Mashoga wa Dunia
4075794.jpg

Charl Van den BergMonday, February 15, 2010 12:40 AM
Mwanaume toka Afrika Kusini amefanikiwa kulitwaa taji la mashindano ya urembo wa mashoga wa dunia 'Mr Gay World Pageant' yaliyofanyika jana jumapili mjini Oslo nchini Norway.Charl Van den Berg, 28, shoga toka Afrika Kusini aliwafunika mashoga wenzake toka Australia, Hong Kong, China na Hispania na kutwaa taji la dunia la kumtafuta mwanaume shoga mrembo kuliko wote duniani kwa mwaka 2010.

Charl ambaye anaendesha mgahawa wa chakula mjini Cape Town nchini Afrika Kusini alitwaa taji hilo baada ya mashindano ya siku nne ya kuvaa mavazi mbalimbali yakiwemo mavazi ya kuogelea.

Taarifa ya waandaaji wa mashindano hayo ilisema kuwa dhumuni kubwa la mashindano haya ni kumtafuta mtu atakayekuwa kiongozi wao katika kutetea haki za mashoga duniani.

Xiaodai Muyi, 26, shoga toka China alishiriki na kushika nafasi ya nne katika mashindano hayo pamoja na hatua za China kumzuia asishiriki mashindano hayo.

Mamlaka za China ziliyapiga marufuku mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa China katika mashindano hayo.

Xiaodai aliingizwa kisiri kwenye mashindano hayo ambayo wanaume 20 toka nchi mbali mbali duniani walishiriki kumtafuta mrembo baina yao.

Ushoga ulikuwa ni kosa la jinai nchini China hadi mwaka 1997 wakati sheria zilipobadilishwa na kuwahesabu mashoga ni watu wenye matatizo ya akili.

Raia wa Australia Byron Adu, 25, alishika nafasi ya pili akifuatiwa na Rick Dean Twombley, 33, mcheza dansi toka Hong Kong aliyeshika nafasi ya tatu huku Mhispania Sergio Lara, 26, akishika nafasi ya tano.

Mashindano ya kwanza ya kumtafuta mrembo wa dunia wa mashoga yalifanyika mwaka jana nchini Kanada ambapo mwanaume toka Ireland alitwaa taji hilo.
mi nilisema huyu mpuuzi atakuja na hoja hizohizo sikuzote maana mod,s wameruhusu huu ujinga,yeye hapo ndo mwisho wa mawazo yake maana anawashwa so anachofikiria yeye ni kuingiliwa ingiliwa na kuchokonolewa muwasho wake kila muda,na kwasababu karuhusiwa tuwe tayari kuona mada kama hizi kila mara,GAMBLER nawewe BWABWAS2 nini?tufahamishane tu.
 
Bwabwa,
BWANA YESU anakupenda na uwezo u-mikononi mwake wa kukubadilisha na kukutoa katika maangamizi ya jehanamu ya milele yaliyo mbele yako. Mwamini YEYE leo naye atakufanya kuwa kiumbe kipya. Achana na shetani ni mwongo, mdanganyifu na mwuuaji. Mkimbie leo na umkimbilie YESU leo. Karibu sana kwa YESU.

Mkuu nashukuru kwa kutufundisha neno tamu, kwamba Yesu Kristo anaweza kuokoa kila mtu.

Mungu akubariki Mkuu rmashauri.

Mkuu nashukuru kwa kutufundisha neno tamu, kwamba Yesu Kristo anaweza kuokoa kila mtu.

Mungu akubariki Mkuu rmashauri.

Amina mkuu. Tuko pamoja. YESU ni dawa ya magonjwa yote yaliyoshindikana ikiwemo hawa walioathirika kisaikolojia na kuacha utu wao na kuambatana na shetani.
 
Back
Top Bottom