MUAFAKA: Tuahurishe kujadili Suala la Muungano Kwa miaka 5-10 Zaidi!

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,697
1,225
Kwa maoni yangu; Tuahirishe hili la Muungano for the next 5-10 years! Tuendeleee na vdi fungu vingine!!! Asante. Tukubaliane kutokukubaliana tusonge mbele!

Najaribu kuepuka kukosa katiba kabisa hence loose-loose situation!!!! Yaani Kubaki na katiba ya 1977!!!

Wakati tuki-maintain current structure all wins win-win; in the sense kwamba ibara nyingi ni positive including Tume ya uchaguzi, kukomesha ufisadi etc...

Muhimu upinzani kujua kwamba hapa walipo wame-gain sana!!! It is not necessary to get all in first attempt mengine yatapatika baadaye!
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
1,500

Nashukuru kwa wanaCCM kuanza ku realize kuwa kupatikana kwa katiba mpya hata wakitumia uwingi wao au nguvu hawatafanikiwa.

Kasheshe rasimu ya katiba imejengwa kwenye msingi mkuu ambao ni muundo wa muungano, kuahirisha suala la muungano na kujadili masuala kwa mfano ya utawala ni sawa na kuanza kujenga renta kabla ya msingi wa nyumba haiwezekani.

CCM wakubali wamezidiwa kwa hoja wasiwe rigid sana mwishowe wakavunjika.
 
-Kwanza Mimi si Mwana CCM
-Pili CCM ndio wengi katiba Ikikwama inakwamishwa na wachache sio wengi
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
1,500
-Kwanza Mimi si Mwana CCM
-Pili CCM ndio wengi katiba Ikikwama inakwamishwa na wachache sio wengi
Kwanza unatakiwa kuelewa rasimu inayojadiliwa ni ile ya tume ya Warioba wala si waraka wa CCM au hotuba ya Kikwete,

CCM hawataki rasimu ipite kama ilivyowasilishwa, hapa wapinzani wa rasimu ya katiba ni CCM wanaodai mfumo wa serikali mbili, kwa hiyo ikikwama itakwamishwa na CCM walio wengi.
 
Mbonamasabo Job

Senior Member
Apr 2, 2014
107
0
Nnachojiuliza ni kua hawa wapinzani waliidai katiba kwa nguvu zote mh mkuu wa nchi akawaahidi atafanya kweli,kumbe ilikuwa njaa yao ya kwenda dodoma kuwakandamiza wananchi wa nchi hii kwa kuzoa malaki kwa siku na sasa wamenogewa wanajenga hoja wanafanya vurugu ili vikao viahirishwe waongezewe siku,kweli hii dhuluma ni mbaya sana hawa watu wamegeuka mchwa bungeni maskini hawana hata pesa za kampeni 2015 wako wanaitafuta kwenye migongo ya watanzania,hii siyo sawa,CCM wakazieni buti hawa ni watu wabaya sana hawa ndo maana jana wakatukanwa na mwenzao mkosamali,,,.
 
Hoja yako iko wapi hapa!!
 
cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,890
2,000
-Kwanza Mimi si Mwana CCM
-Pili CCM ndio wengi katiba Ikikwama inakwamishwa na wachache sio wengi

Kweli mkuu unaweza ukawa si mwanaccm lakini uoga wa mapendekezo ya rasimu hii umeonyeshwa na ccm kwa sababu wanaogopa uwepo wa serikali tatu. Pili inayojadiliwa ni rasimu ya katiba iliyowasilishwa kwenye bunge maalumu la katiba na tume ya Warioba ambayo imependekeza muundo wa muungano wa serikali 3,na hicho ndicho kitu ambacho ccm walio wengi wanakipinga wakipendekeza mfumo uliopo ambao pia umependekeza tuendelee nao kwa miaka5-10, wachache walio bungeni wanataka rasimu hii ambayo wanaiita maoni ya wananchi,na ccm wengi wanataka kuibadilisha,na ili wanatakiwa wapate walau theluthi 2 kila upande wa muungano! Inawezekana labda mimi sielewi vizuri hebu nirekebishe nielimike zaidi, nina imani u'r a great thinker utaliweka vizuri zaidi
 
cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,890
2,000
Nnachojiuliza ni kua hawa wapinzani waliidai katiba kwa nguvu zote mh mkuu wa nchi akawaahidi atafanya kweli,kumbe ilikuwa njaa yao ya kwenda dodoma kuwakandamiza wananchi wa nchi hii kwa kuzoa malaki kwa siku na sasa wamenogewa wanajenga hoja wanafanya vurugu ili vikao viahirishwe waongezewe siku,kweli hii dhuluma ni mbaya sana hawa watu wamegeuka mchwa bungeni maskini hawana hata pesa za kampeni 2015 wako wanaitafuta kwenye migongo ya watanzania,hii siyo sawa,CCM wakazieni buti hawa ni watu wabaya sana hawa ndo maana jana wakatukanwa na mwenzao mkosamali,,,.

Mkuu hadi povu linakutoka halafu hoja hakuna,ni nani anayetaka kupindisha na kubadilisha mapendekezo ya tume ya marekebisho ya katiba? Katafiti hilo halafu uje tuongee
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,697
1,225
Kweli mkuu unaweza ukawa si mwanaccm lakini uoga wa mapendekezo ya rasimu hii umeonyeshwa na ccm kwa sababu wanaogopa uwepo wa serikali tatu. Pili inayojadiliwa ni rasimu ya katiba iliyowasilishwa kwenye bunge maalumu la katiba na tume ya Warioba ambayo imependekeza muundo wa muungano wa serikali 3,na hicho ndicho kitu ambacho ccm walio wengi wanakipinga wakipendekeza mfumo uliopo ambao pia umependekeza tuendelee nao kwa miaka5-10, wachache walio bungeni wanataka rasimu hii ambayo wanaiita maoni ya wananchi,na ccm wengi wanataka kuibadilisha,na ili wanatakiwa wapate walau theluthi 2 kila upande wa muungano! Inawezekana labda mimi sielewi vizuri hebu nirekebishe nielimike zaidi, nina imani u'r a great thinker utaliweka vizuri zaidi
Hivi mnajua maana ya neno "RASIMU"? maana yake ni "DRAFT DOCUMENT" Hivi ni nani huku duniani ambaye analazimika ku-obey draft document, tumelogwa na nini WaTanzania?
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,200
2,000
Kwa maoni yangu; Tuahirishe hili la Muungano for the next 5-10 years! Tuendeleee na vdi fungu vingine!!! Asante. Tukubaliane kutokukubaliana tusonge mbele!

Najaribu kuepuka kukosa katiba kabisa hence loose-loose situation!!!! Yaani Kubaki na katiba ya 1977!!!

Wakati tuki-maintain current structure all wins win-win; in the sense kwamba ibara nyingi ni positive including Tume ya uchaguzi, kukomesha ufisadi etc...

Muhimu upinzani kujua kwamba hapa walipo wame-gain sana!!! It is not necessary to get all in first attempt mengine yatapatika baadaye!

Mkuu ni Ibara gani inayokomesha ufisadi?
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,200
2,000
Hivi mnajua maana ya neno "RASIMU" maana yake ni "DRAFT DOCUMENT" Hivi ni nani huku duniani ambaye analazimika ku-obey draft document, tumelogwa na nini WaTanzania?

Kuna jinamizi linaitwa utanganyika, hili ndio limeharibu sana vichwa vya watu!
 
cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,890
2,000
Hivi mnajua maana ya neno "RASIMU" maana yake ni "DRAFT DOCUMENT" Hivi ni nani huku duniani ambaye analazimika ku-obey draft document, tumelogwa na nini WaTanzania?
Iwe rasimu, iwe draft hiyo ndiyo inayojadiliwa,usiingize ndoto na mawazo yako kinachofanyika ni kuijadili na kuiboresha,hoja yako kwamba wachache ndo wanaikwamisha ni misleading,na wanaopinga ni walio wengi CCM,si suala la kuobey au kutoobeo ni suala la sheria,ili kuibadilisha inabidi upate 2 third kila upande wa muungano, mkuu kama kurogwa umerogwa peke yako labda na wana ccm,lakini watanzania walio wengi uelewa wao ni mkubwa si mbumbumbu kama unavyodhani
 
Kwa kuwa ni DRAFT both KUPITISHA ibara Kama ilivyo au KUANDIKA UPYA vyote vinahitaji kura .. Unaelewa sasa?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,571
2,000
Kasheshe,

..katika suala hili Zanzibar wameshika mpini na Watanganyika wameshika makali.

..unaweza kuahirisha suala la muungano huku Tanganyika, lakini sidhani kama unaweza kufanya hivyo kwa upande wa Zanzibar.

..wa-Znz, kupitia uamuzi wa baraza la wawakilishi, wanaweza kupiga kura kuukataa muungano. wasipopata wanachokitaka ktk bunge la katiba tutegemee wanaweza kwenda na kuamua mambo yao wenyewe kwenye baraza la wawakilishi.

..wa-Znz wakiamua kujitoa ktk muungano, wakati sisi wa-Tanganyika hatuna serikali yetu, kunaweza kusababisha sintofahamu kubwa ajabu huku Tanganyika.

..mimi nadhani wa-Tanganyika tuwe waangalifu sana ktk suala hili.

cc Buchanan, Nguruvi3, Barubaru
 
Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161

Nikusaidiekidogo hapo.

BLW halina mamlaka kisharia kujadili issue ya muungano kwani masuala hayo yanajadiliwa Bungeni Tz,
Hivyo katika bunge la muungano ambalo wabunge wake zaidi ya 60% wanatoka Tgk wanaweza kufanya lolote

Blw lina mamlaka ya kutunga sharia za ZNZ tu.

pole sana

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
14,343

Mkuu JokaKuu , nikuhakikishie kuwa wznz hawana na hawawezi kuthubutu kuvunja muungano unilaterally. Wangekuwa na uwezo huo wanegshafanya. Ukweli kuwa wanataka mkataba na vitu vingine unaonyesha uwezo huo mdogo.

Znz wakijitoa sidhani kama Tanganyika itakuwa na tatizo. Kwasasa Tanzania ndiyo Tanganyika, unless uniambie matatizo gani unadhani specifically.
 
Last edited by a moderator:

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
14,343
2,000
Nikusaidiekidogo hapo.

BLW halina mamlaka kisharia kujadili issue ya muungano kwani masuala hayo yanajadiliwa Bungeni Tz,
Hivyo katika bunge la muungano ambalo wabunge wake zaidi ya 60% wanatoka Tgk wanaweza kufanya lolote

Blw lina mamlaka ya kutunga sharia za ZNZ tu.

pole sana
Unajua 2/3 ina maana gani katika bunge la JMT?
Nimeshakuambia, kwanza jiridhishe na kile unachoandika kabla ya kuandika.

Sheria zipo wazi kuhusu mambo ya muungano. 2/3 ya watalii wa znz inaweza kuzuia jambo.
Katiba ya 2010 inasema wazi jambo la muungano lifikishwe BLW. Pale penye utata wa jambo katiba ya znz inakuwa juu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom