Muache haka katabia

Dlight

Member
Jan 20, 2019
21
10
Habari wa kuu...
kumekuwa na katabia ka watu kupostiana watsapp status, hivyo kupelekea watu kurequest sana mara naomba namba ya huyu dem mara namba ya huyu bro na hata wakati mwingine bila salam.

Rai:Tusalimiane kabla ya kuomba namba.
 
Koma boya wew,
Unapost ili iweje

Nyie ndio huwa mnakaa mnajaza status ndugu wa kike kibao,

Maneno mengiiii faida zero,
Sijui Mtoto wa mama mdogo akiolewa lazima kupost.

Unafaidika nn sasa??

Komaaaa

Fanya mambo ya msingi achana na mambo ya kuuza sura.

Sent using Jamii Forums mobile app
There is no great welth in this world than peace of mind
 
Back
Top Bottom