Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,145
Habarini wazee
Wiki moja ilio pita nilikuwa mtwara katika harakati za kutoe elimu ya GBV tulifanya zoezi letu kwa ufasaha kabisa baada ya kumaliza upande wa watu wazima tukaenda upande wa watoto
Huku ndiko tukagundua tabia ambazo watoto wameiga kwa kiasi kikubwa na wazazi wao wakijua na kushindwa kuwakemea watoto wao
Ni utaratibu wetu baada ya kumaliza kutoa elimu kwa watoto tunawapa fursa za kuchagua wimbo ambao wanaupenda wacheze na tucheze kwa pamoja kuwafanya watoto wafurahi
Ndipo walipo chagua wimbo wao unaoitwa Mseng* nani? Nilistaajabu kusikia jina la hilo wimbo nikauliza wenyeji wangu uhu wimbo kaimba nani? Na unamaana gan?
Wakasema wimbo uho kuna mtu hapo mtwara aliomba taraka kwa mumewe kwa muda uho mumewe hakuwa tayali kutoa taraka kwaio wakaendelea kuishi pamoja ina maana walielewana
Sasa ikafika wakati wa kumualua mtoto ndipo mzee naye akaamua kumuacha mkewe sasa mkewe alipopokea taraka akachana hiyo taraka ndio mwanaume akaamua kutunga uho wimbo
Nikajiuliza kwanini sasa watoto wanaupenda uho wimbo hakunijibu hila dj alivyo weka uho wimbo watoto walicheza walifura sana nikawa najiuliza kwanini basata hawakufungia uhu wimbo mpaka leo sikupata jibu