Mtwara: Wafanyakazi Idara ya Afya wapigwa Marufuku kutumia neno "Boss"

Huko ni kupoteza muda na rasilimali za serikali bure, Mkuu wako ukimwita kwa jina lolote mambo yanakwenda tu hivi shida ipo wapi?
Wagonjwa mahodini wanagonja huduma, hospitali/kituo chenyewe hakina dawa na vifaa tiba vya kutosha badala ya kukaa mjadili mahtaji tunakaa tunadiscuss jinsi ya kuitana vyeo!
Nina wasiwasi kuwa, KIKWAO huyo ndugu neno BOSS/bosi ni tusi/kejeli.
 
Hili tamko mbona kama linajirudia, ama akili yangu ndo imedanganyika? Nakumbuka kauli kama huko Masasi miaka kadhaa iliyopita
Kwa bahati mbaya, hili tangazo halina tarehe na inawezekana ni la siku nyingi. Ila itapendeza kama wataitwa Waheshimiwa kwa vile kila boss anapenda aitwe hivyo.
 
Back
Top Bottom