Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,402
- 7,308
Je na kule Arusha, katika kikombe cha babu, kuna Waislamu eeeh..Watu wenye imani ya YESU KRISTO kamwe hawawezi kuamini upuuzi kama huu sababu kinga ya Wakristo ni damu ya YESU KRISTO na siyo uji wa muhogo.