Mtwara: Polisi wamewakamata watu 21 wanaotuhumiwa kujihusisha na matukio ya uhalifu, likiwemo tukio la wizi nyumbani kwa Mkuu wa wilaya

Mar 22, 2019
46
55
Na Bakari Chijumba, Mtwara.

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara katika operesheni inayoendelea wamewakamata watuhumiwa 21, wanaojihusisha na matukio ya uhalifu ikiwemo uvunjaji wa nyumba na wizi wa pikipiki, ambapo miongoni mwa wahanga wa matukio hayo yumo Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda ambaye ameibiwa vitu vyake vya ndani.

Akizunguma na wanahabari Leo Alhamisi 18 April 2019, nje ya kituo kikuu cha polisi mjini Mtwara, Kamanda wa Polisi Mkoani wa Mtwara Blasius Chatanda-ACP, amesema operesheni hiyo imeanza 01 January 2019 hadi 18 April 2019 ambapo ndani ya kipindi hicho wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 21 wanaojihusisha na matukio ya uhalifu pamoja na mali mbalimbali.

"Katika operesheni inayoendelea Mtwara tumewakamata watuhumiwa 21, pia tumekamata mali mbalimbali zidhaniwazo kuwa za wizi ikiwemo TV 12, Deki 3, Sub wofer 2, kompyuta 7, Solar panel 11 ,mitungi ya gesi 17, pikipiki 7, bajaji moja na zana za uvuvi haramu ikiwemo viroba vitatu vyenye unga unaodhaniwa ni sumu" amesema Kamanda Chatanda.

Aidha, Kamanda Chatanda amesema miongoni mwa wahanga wa uhalifu huo ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda ambaye ameibiwa vifaa vya ndani.

"Mkuu wa wilaya ya Mtwara ni miongoni mwa wahanga wa huu uhalifu tulioubaini wakati wa operesheni, yeye ameibiwa vifaa vya ndani ikiwemo TV(Flat Screen)usiku wa kuamkia Jana 17/04/2019,hawakufanikiwa kuchukua vingine kwakuwa wahalifu hao baadae walikurupushwa ila waliohusika na tukio hili tayari tunao" amesema kamanda huyo wa polisi na kuongeza kwamba

"Tunawaomba walioibiwa katika matukio mbalimbali, wafike kituo kikuu cha polisi kati mjini Mtwara ili waweze kuzitambua mali zao"

Kamanda Chatanda amesema licha ya mkuu wa wilaya kuibiwa, katika Kompyuta zilizokamatwa pia zimo zilizoibiwa kwenye ofisi za halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani.

"Miongoni mwa Kompyuta zilizoibiwa pia zimo ambazo zimeibiwa kwenye Ofisi za Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani, tunajiuliza huyu aliyeiba alikuwa na lengo la kuvitumia tu au alikuwa anataka baadhi ya taarifa za ofisi..Watumishi wawili wa Halmashuri wanaotuhumiwa tumewashikilia na tunaendelea na uchunguzi" amesema Chatanda.

Katika hatua nyingine Kamanda huyo wa polisi Mkoa wa Mtwara amesema jeshi limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama unaimairishwa katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mtwara kwa kuweka askari wa doria za miguu,majini , magari na pikipiki ndani ya kipindi hiki cha msimu wa sikukuu ya Pasaka.View attachment 1075085
IMG_2015.JPG
View attachment 1075087View attachment 1075084View attachment 1075088View attachment 1075089
IMG_2000.JPG
 
Na Bakari Chijumba, Mtwara.

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara katika operesheni inayoendelea wamewakamata watuhumiwa 21, wanaojihusisha na matukio ya uhalifu ikiwemo uvunjaji wa nyumba na wizi wa pikipiki, ambapo miongoni mwa wahanga wa matukio hayo yumo Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda ambaye ameibiwa vitu vyake vya ndani.

Akizunguma na wanahabari Leo Alhamisi 18 April 2019, nje ya kituo kikuu cha polisi mjini Mtwara, Kamanda wa Polisi Mkoani wa Mtwara Blasius Chatanda-ACP, amesema operesheni hiyo imeanza 01 January 2019 hadi 18 April 2019 ambapo ndani ya kipindi hicho wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 21 wanaojihusisha na matukio ya uhalifu pamoja na mali mbalimbali.

"Katika operesheni inayoendelea Mtwara tumewakamata watuhumiwa 21, pia tumekamata mali mbalimbali zidhaniwazo kuwa za wizi ikiwemo TV 12, Deki 3, Sub wofer 2, kompyuta 7, Solar panel 11 ,mitungi ya gesi 17, pikipiki 7, bajaji moja na zana za uvuvi haramu ikiwemo viroba vitatu vyenye unga unaodhaniwa ni sumu" amesema Kamanda Chatanda.

Aidha, Kamanda Chatanda amesema miongoni mwa wahanga wa uhalifu huo ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda ambaye ameibiwa vifaa vya ndani.

"Mkuu wa wilaya ya Mtwara ni miongoni mwa wahanga wa huu uhalifu tulioubaini wakati wa operesheni, yeye ameibiwa vifaa vya ndani ikiwemo TV(Flat Screen)usiku wa kuamkia Jana 17/04/2019,hawakufanikiwa kuchukua vingine kwakuwa wahalifu hao baadae walikurupushwa ila waliohusika na tukio hili tayari tunao" amesema kamanda huyo wa polisi na kuongeza kwamba

"Tunawaomba walioibiwa katika matukio mbalimbali, wafike kituo kikuu cha polisi kati mjini Mtwara ili waweze kuzitambua mali zao"

Kamanda Chatanda amesema licha ya mkuu wa wilaya kuibiwa, katika Kompyuta zilizokamatwa pia zimo zilizoibiwa kwenye ofisi za halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani.

"Miongoni mwa Kompyuta zilizoibiwa pia zimo ambazo zimeibiwa kwenye Ofisi za Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani, tunajiuliza huyu aliyeiba alikuwa na lengo la kuvitumia tu au alikuwa anataka baadhi ya taarifa za ofisi..Watumishi wawili wa Halmashuri wanaotuhumiwa tumewashikilia na tunaendelea na uchunguzi" amesema Chatanda.

Katika hatua nyingine Kamanda huyo wa polisi Mkoa wa Mtwara amesema jeshi limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama unaimairishwa katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mtwara kwa kuweka askari wa doria za miguu,majini , magari na pikipiki ndani ya kipindi hiki cha msimu wa sikukuu ya Pasaka.View attachment 1075085View attachment 1075086View attachment 1075087View attachment 1075084View attachment 1075088View attachment 1075089View attachment 1075090
Nikimuona huyu kamanda usoni nikilinganisha na wanaovuta ile kitu ambayo kwa wazee wa KAMWEEENEE ni mboga nashindwa kumuelewa. Anyway, makamanda wengi wanatumia ile mboga
 
Hv wameacha kuchekecha in zamani, nilipokuwa huko walikuwa wanawachekecha wezi asbh unaona maiti tuu
 
Wizi wa vifaa vya umma,ni moja ya matukio hatari ambayo jeshi la polisi hua wanapuuza.ni juzi tu,tumeskia huko southafrica udukuzi ktk sekta nyeti ya afya.
 
Na Bakari Chijumba, Mtwara.

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara katika operesheni inayoendelea wamewakamata watuhumiwa 21, wanaojihusisha na matukio ya uhalifu ikiwemo uvunjaji wa nyumba na wizi wa pikipiki, ambapo miongoni mwa wahanga wa matukio hayo yumo Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda ambaye ameibiwa vitu vyake vya ndani.

Akizunguma na wanahabari Leo Alhamisi 18 April 2019, nje ya kituo kikuu cha polisi mjini Mtwara, Kamanda wa Polisi Mkoani wa Mtwara Blasius Chatanda-ACP, amesema operesheni hiyo imeanza 01 January 2019 hadi 18 April 2019 ambapo ndani ya kipindi hicho wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 21 wanaojihusisha na matukio ya uhalifu pamoja na mali mbalimbali.

"Katika operesheni inayoendelea Mtwara tumewakamata watuhumiwa 21, pia tumekamata mali mbalimbali zidhaniwazo kuwa za wizi ikiwemo TV 12, Deki 3, Sub wofer 2, kompyuta 7, Solar panel 11 ,mitungi ya gesi 17, pikipiki 7, bajaji moja na zana za uvuvi haramu ikiwemo viroba vitatu vyenye unga unaodhaniwa ni sumu" amesema Kamanda Chatanda.

Aidha, Kamanda Chatanda amesema miongoni mwa wahanga wa uhalifu huo ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda ambaye ameibiwa vifaa vya ndani.

"Mkuu wa wilaya ya Mtwara ni miongoni mwa wahanga wa huu uhalifu tulioubaini wakati wa operesheni, yeye ameibiwa vifaa vya ndani ikiwemo TV(Flat Screen)usiku wa kuamkia Jana 17/04/2019,hawakufanikiwa kuchukua vingine kwakuwa wahalifu hao baadae walikurupushwa ila waliohusika na tukio hili tayari tunao" amesema kamanda huyo wa polisi na kuongeza kwamba

"Tunawaomba walioibiwa katika matukio mbalimbali, wafike kituo kikuu cha polisi kati mjini Mtwara ili waweze kuzitambua mali zao"

Kamanda Chatanda amesema licha ya mkuu wa wilaya kuibiwa, katika Kompyuta zilizokamatwa pia zimo zilizoibiwa kwenye ofisi za halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani.

"Miongoni mwa Kompyuta zilizoibiwa pia zimo ambazo zimeibiwa kwenye Ofisi za Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani, tunajiuliza huyu aliyeiba alikuwa na lengo la kuvitumia tu au alikuwa anataka baadhi ya taarifa za ofisi..Watumishi wawili wa Halmashuri wanaotuhumiwa tumewashikilia na tunaendelea na uchunguzi" amesema Chatanda.

Katika hatua nyingine Kamanda huyo wa polisi Mkoa wa Mtwara amesema jeshi limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama unaimairishwa katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mtwara kwa kuweka askari wa doria za miguu,majini , magari na pikipiki ndani ya kipindi hiki cha msimu wa sikukuu ya Pasaka.View attachment 1075085View attachment 1075086View attachment 1075087View attachment 1075084View attachment 1075088View attachment 1075089View attachment 1075090
DC huwa analindwa na polisi nyumbani kwake.
Kwa hiyo kama ni hivyo polisi ndio watuhumiwa
 
Shukurani zimwendee mkuu wa wilaya.
 
DC huwa analindwa na polisi nyumbani kwake.
Kwa hiyo kama ni hivyo polisi ndio watuhumiwa
Nadhan kujiamini sana kunawaponza katika hali ya kawaida hauwezi kudhani kwamba mtu anaweza kuja kuiba kwa DC wakati anajua kuna Polisi so hata ungekua wewe ndio mlinzi ungepoteza umakini
 
Back
Top Bottom