Mtwara: Nyumba yapigwa Radi na Mali zote kuteketea kwa moto

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Nyumba ya mkazi mmoja wa mtwa yapigwa Radi na Mali zote kuteketea kwa moto.

Habari zaidi

Nyumba na mali zote za mkazi wa kijiji cha Tengulengu kata ya mkwendu wilayani Newala mkoani Mtwara bwana Hassan Namtema.

Vimeteketea kwa kupigwa na Radi. Pia watu wanne kati ya saba walio kuwa kwenye nyumba hiyo wamejeruhiwa na kupelekwa zahanati ya mkwendu kwa ajili ya matibabu.

Nyumba hiyo ilipigwa na Radi wakati mvua kubwa ikinyesha.

~Diwani wa kata hiyo ya mkwendu, Hamis Akayoha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

JamiiForums inatoa pole kwa familia hiyo.
 
Dah .. pole kwa familia.

Ila Newala kwa radi ni hatari na kali mno haswa kwa kipindi hiki cha mvua.
 
Nyumba ya mkazi mmoja wa mtwa yapigwa Radi na Mali zote kuteketea kwa moto.

Habari zaidi

Nyumba na mali zote za mkazi wa kijiji cha Tengulengu kata ya mkwendu wilayani Newala mkoani Mtwara bwana Hassan Namtema.

Vimeteketea kwa kupigwa na Radi. Pia watu wanne kati ya saba walio kuwa kwenye nyumba hiyo wamejeruhiwa na kupelekwa zahanati ya mkwendu kwa ajili ya matibabu.

Nyumba hiyo ilipigwa na Radi wakati mvua kubwa ikinyesha.

~Diwani wa kata hiyo ya mkwendu, Hamis Akayoha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

JamiiForums inatoa pole kwa familia hiyo.
Nyumba ya Hassan imepigwa radi wewe unamtema badala ya kumsaidia!
 
Nyumba ya mkazi mmoja wa mtwa yapigwa Radi na Mali zote kuteketea kwa moto.

Habari zaidi

Nyumba na mali zote za mkazi wa kijiji cha Tengulengu kata ya mkwendu wilayani Newala mkoani Mtwara bwana Hassan Namtema.

Vimeteketea kwa kupigwa na Radi. Pia watu wanne kati ya saba walio kuwa kwenye nyumba hiyo wamejeruhiwa na kupelekwa zahanati ya mkwendu kwa ajili ya matibabu.

Nyumba hiyo ilipigwa na Radi wakati mvua kubwa ikinyesha.

~Diwani wa kata hiyo ya mkwendu, Hamis Akayoha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

JamiiForums inatoa pole kwa familia hiyo.
Chanzo cha Radi plz
 
Pole kwao ,kama uhai haujapotea ni jambo lakumshukuru Mungu, mali zinatafutwa Mungu awaponye haraka.
 
Chanzo cha Radi plz

Theory:
Kuna matabaka ya chaji hasi na chanya mara mbili: kati ya mawingu yenyewe na kati ya ardhi na hewa hapo kati. Chaji hizi hutenganishwa na hewa iliyopo katikati ya hizi chaji.

Hewa yenye unyevunyevu na joto hupanda angani na kutengeneza vitu viwili katika maeneo hayo ya hewa: ice na grupel. Ice huweza kuchukua chaji hasi na grupel huchukua chaji chanya. Lakini, tatizo ni grupel, kwani huweza kubadilika uwezo wa kubeba chaji zake kuwa chanya au hasi kulingana na hali ya joto la eneo husika.

Kwa kufanya hivyo, grupel huweza kusababisha shoti dhidi ya ice. Kitu ambacho husababisha kukua kwa shoti mfumo mkubwa wa umeme/shoti ndani ya eneo husika.

Hii hufanya hewa iliyokuwa inazitenga chaji ndani ya wingu au kati ya wingu na ardhi kushindwa kufanya kazi. Hivyo shoti kubwa hutokea.

Hivyo, radi huweza kutokea ndani ya mazingira ya wingu husika au kati ya wingu na ardhi.

Mategemeo ni: radi yenye madhara ni ile inayohusisha wingu na ardhi huku ardhi ikiwa ni chaji chanya ambapo umeme huelekea ardhini.

Miti mirefu au milingoti ya chuma na hata vitu vyote vinavyofahamika kupitisha umeme huwa ni mhanga wa kwanza kwenye eneo husika kama havijawekewa(kwa vile vinavyoweza kuwekewa) mfumo wa ulinzi dhidi ya radi.
 
Kuna watu wengine radi inapiga wao utakuta bado wanashika sim na kuongea

Mtakujaaa kukaushwa kama mkaaa

Ova
 
Aisee nimejifunza mno kuhusu radi na najua aina za radi na namna zinatokea..NI UONGO KUHUSISGA RADI NA SIMU AU REDIO. Jifunze utaelewa.
 
Back
Top Bottom