Mtwara: nahitaji mrembo aliye Mtwara mjini, njoo PM tuyajenge

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Nimefungua Barbershop nahitaji wadada wasafi watakaofanya kazi hapo, vinyozi wapo tayari. Nafasi zilizopo ni 3.
Hii ni fursa kwako mrembo
 
Shuka hapo jiran na uwanja wa nangwanda sijaona kuna bar moja ipo kama night club flan hiv utapata company
 
Kabandike tangazo lako pale chuo cha UTUMISHI hapo mtwara utawapata wakutosha bora usiwe mbahiri tu
 
Usije kujificha hapa JF, wewe bandika bango usoni mwako na utembee mtaani utawapata wengi tu hata vidume tata (dizaini ya Caitlyn Jenner) utavipata kwa wingi.
 
Yaan nmecheka balaa maana Leo nmetoka hapo kuanzia wahudumu mpk wateja woote wapo kimitego tu, kuna yule bonge amenyoa kama kirikuu
Ni mtamu balaa yule na ana pumzi yakutosha yani elfu 50 yako inaenda kihalali usiku mzima
 
Back
Top Bottom