Mtwara: Mwalimu mmoja afundisha darasa la kwanza hadi la saba

Da imeniuma utafikiri ni mimi ndio nimetupwa huko. Wakati wengine wanatembea kwenye VX na V8 kuna mtu mmoja anapigika huko. Na wakifika wanataka waone lesson plan na scheme of work.

Mwenyezi Mungu nipe na mimi huu moyo wa mwalimu chilumba hata robo tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom