Mtwara mjini

CUF kumnyima JK Uraisi...............................hizo kura za CUF JK kuzisikia kwenye bomba......................
 
Hivi mnadhani watu wa Mtwara wamesahau mlivyo wapiga, kubaka dada zao na wake zao kisa kwa nini wanaulizia gesi yao? Kwa jinsi mlivyo wadhalilisha kama watawapa hata diwani mmoja basi nitajua kuwa kuna Watanzania ambao ni bora kufuga kuku utakula mayai kuliko wao kuwepo.
 
Mtwara mjini jumbo lipo wasi kwa ukawa kupitia cuf

Miongoni mwa majimbo ambayo kura za vyama vinavyounda ukawa zikijumlishwa zinaaidi za ccm kwa mwaka 2010 ni Sumbawanga(M), Kigoma (M), Kinondoni, Shinyanga, Kahama, Mtwara, Njombe kasakazini nk
Mwaka huu kazi ipooo
 
Ndo man ccm inaiogopa ukawa zaidi. Mambo ya kugawa kura halafu ccm ipite katikati haipo.
 
Miongoni mwa majimbo ambayo kura za vyama vinavyounda ukawa zikijumlishwa zinaaidi za ccm kwa mwaka 2010 ni Sumbawanga(M), Kigoma (M), Kinondoni, Shinyanga, Kahama, Mtwara, Njombe kasakazini nk
Mwaka huu kazi ipooo

Hapo ingekuwa Ukawa ipo kuanzia 2010.
Leo hii pamoja na muamko wa watu basi tutegemee maafa ya ccm zaidi.
 
Back
Top Bottom