2015 chukua za chadema ongezea cuf ongeza na wataka madiliko plus wafuasi wa LowasaMbunge
CCM - 10744
CHADEMA- 1079
CUF- 10451
TLP- 400
CCM WAMESHINDA
Mtwara mjini jumbo lipo wasi kwa ukawa kupitia cuf
Miongoni mwa majimbo ambayo kura za vyama vinavyounda ukawa zikijumlishwa zinaaidi za ccm kwa mwaka 2010 ni Sumbawanga(M), Kigoma (M), Kinondoni, Shinyanga, Kahama, Mtwara, Njombe kasakazini nk
Mwaka huu kazi ipooo