IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Mh Waziri Mkuu wewe ni jembe sana hakuna asiyejua nakumbuka siku umeapishwa ulitoa onyo kwa wafanyabiashara na ukiwaomba wakuu wa mikoa kukupa taarifa ya upatikanaji wa cement kila mkoa.
Sasa hapa ninapoandika Mtwara Mjini, Masasi HAKUNA CEMENT hapa namaanisha hakuna hata ukitaka mfuko 1 hakuna.
Naomba Viongozi wenye mamlaka mlifanyie kazi.
Kumbuka Jumatatu Shule zinafunguliwa na kuna ukarabati na majengo mapya yanajengwa.
HUU NDIO WAKATI WA KUONYESHA SERIKALI IPO.