Mtwara Mjini na Masasi hakuna cement tangu jana

Unalilia cement unajenga au
Usikariri, bidhaa inaweza ikawa kwa ajili ya biashara, si lazima iwe kwa matumizi.

Kwani mtu akisema anatafuta nguruwe kumi, una maana ni lazima anataka wakawe kitoweo kwa ajili yake?
 
Back
Top Bottom