Mtwara Mjini na Masasi hakuna cement tangu jana

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,731
2,000
Mh Waziri Mkuu wewe ni jembe sana hakuna asiyejua nakumbuka siku umeapishwa ulitoa onyo kwa wafanyabiashara na ukiwaomba wakuu wa mikoa kukupa taarifa ya upatikanaji wa cement kila mkoa.

Sasa hapa ninapoandika Mtwara Mjini, Masasi HAKUNA CEMENT hapa namaanisha hakuna hata ukitaka mfuko 1 hakuna.

Naomba Viongozi wenye mamlaka mlifanyie kazi.

Kumbuka Jumatatu Shule zinafunguliwa na kuna ukarabati na majengo mapya yanajengwa.

HUU NDIO WAKATI WA KUONYESHA SERIKALI IPO.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,994
2,000
Saruji Mpaka Sasa Hivi Haipatikani Tanzania Yote
Ikipatikana Bei Yake Ni Kama Magendo Yaani Ipo Juu, Nikikumbuka Wakati Ule Propagandist Mwijage Alikuwa Anaongea Mpaka!!

Bei Na Upatikanaji Ikawa Stories, Ndiyo Sasa Hivi
 
Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,558
2,000
Mh Waziri Mkuu wewe ni jembe sana hakuna asiyejua nakumbuka siku umeapishwa ulitoa onyo kwa wafanyabiashara na ukiwaomba wakuu wa mikoa kukupa taarifa ya upatikanaji wa cement kila mkoa.

Sasa hapa ninapoandika Mtwara Mjini, Masasi HAKUNA CEMENT hapa namaanisha hakuna hata ukitaka mfuko 1 hakuna...

Naomba Viongozi wenye mamlaka mlifanyie kazi.

Kumbuka Jumatatu Shule zinafunguliwa na kuna ukarabati na majengo mapya yanajengwa.

HUU NDIO WAKATI WA KUONYESHA SERIKALI IPO.
Ni mwehu tu ndio anaweza kumuamini waziri mkuu Majaliwa na kumuita jembe.....wenye akili wamenielewa.
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,484
2,000
Mh Waziri Mkuu wewe ni jembe sana hakuna asiyejua nakumbuka siku umeapishwa ulitoa onyo kwa wafanyabiashara na ukiwaomba wakuu wa mikoa kukupa taarifa ya upatikanaji wa cement kila mkoa.

Sasa hapa ninapoandika Mtwara Mjini, Masasi HAKUNA CEMENT hapa namaanisha hakuna hata ukitaka mfuko 1 hakuna...

Naomba Viongozi wenye mamlaka mlifanyie kazi.

Kumbuka Jumatatu Shule zinafunguliwa na kuna ukarabati na majengo mapya yanajengwa.

HUU NDIO WAKATI WA KUONYESHA SERIKALI IPO.
Mwambie huyo jembe lako awajengee kiwanda.
 
MPEPE

Senior Member
Oct 20, 2012
123
225
Mh Waziri Mkuu wewe ni jembe sana hakuna asiyejua nakumbuka siku umeapishwa ulitoa onyo kwa wafanyabiashara na ukiwaomba wakuu wa mikoa kukupa taarifa ya upatikanaji wa cement kila mkoa.

Sasa hapa ninapoandika Mtwara Mjini, Masasi HAKUNA CEMENT hapa namaanisha hakuna hata ukitaka mfuko 1 hakuna...

Naomba Viongozi wenye mamlaka mlifanyie kazi.

Kumbuka Jumatatu Shule zinafunguliwa na kuna ukarabati na majengo mapya yanajengwa.

HUU NDIO WAKATI WA KUONYESHA SERIKALI IPO.
Naambiwa hadi Tunduru
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
32,211
2,000
Nilishauri serikali itoe kibali cement ya nje iagizwe lakini hawasikii.
Endeleeni kuumia wanyonge.
sasa cement imepanda Tena Ni 16,000 mpaka 16,500
na Kuna habari twiga cement wanataka kufanya UKARABATI.
Kama hizo habari Ni za kweli.
Poleni wanyonge
 
MARTIAL20

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
391
1,000
Nilishauri serikali itoe kibali cement ya nje iagizwe lakini hawasikii.
Endeleeni kuumia wanyonge.
sasa cement imepanda Tena Ni 16,000 mpaka 16,500
na Kuna habari twiga cement wanataka kufanya UKARABATI.
Kama hizo habari Ni za kweli.
Poleni wanyonge

Kumbuka kuna nchi jirani zinachukua cement kutoka hapa dar twiga cement na kiwanda kwa sasa uzalishaji umepungua sana pengine wanaweza fanya ukarabati wa mitambo
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
32,211
2,000
Kuna mtu kaniambia Jana kanunua cement 16,000.
Tegeta.
Ambapo kiwanda Cha twiga cement kipo.
jiulize mtu aliyepo Tabora ,Shinyanga ,Kigoma n.k
Kumbuka kuna nchi jirani zinachukua cement kutoka hapa dar twiga cement na kiwanda kwa sasa uzalishaji umepungua sana pengine wanaweza fanya ukarabati wa mitambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom