alie kuwa mgombea udiwani kata ya Nyasa kada mkubwa wa CUF Yusufu Omari Ally leo amehama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa chadema kata ya Migongo Masasi Mtwara (Kassimu Bingwe).
Mungu wangu mke wa mtu kaguswa na M4C.
Peoooooopleeeeeesssssss powwwwweeeeeer
Anasahau kuwa nchi hii siyo ya CCM wala ya CHADEMA ni ya watanzania watanzania hata leo wakitaka chadema au chama chochote ndiyo kiongoze hawatahitaji hata kusubiri mwaka 2015....Nape yeye anazidi kuweweseka huko mafinga kuwa ni wanaharakati, na ccm haitakubali kuachia nchi wanaharakati.
Naona mguu unaanza kuota tende, pole sana!upuuuuuzi mtupu.
Mungu wangu mke wa mtu kaguswa na M4C.
Peoooooopleeeeeesssssss powwwwweeeeeer
ninachofarijika nacho zaidi ni kuona matunda ya m4c kusini,kumbe hata bila kuwepo slaa,mbowe na wengineo bado raia wanamdu kuisongesha m4c
Mkuu umesema vema kabisa...
Dalili nzuri sana hizo. Chama kijijenge bila kutegemea majina au uwepo wa akina fulani. Ni mwelekeo mzuri sana wa ukombozi wa taifa letu. Leo ukiona hadi Mwenyekiti wa kitongoji wa Chadema naye anaitisha mkutano na kuzoa wanachama ujue kumepambazuka.
Hata hivyo Dr. Slaa, Mbowe, na wengineo hawatasahaulika kamwe katika harakati za ukombozi. Majina yao yameandikwa katika kitabu cha kumbukumbu mioyoni mwa watanzania.
Mkuu umesema vema kabisa...