Mtwara: M4C yazidi kuibomoa CUF..

alie kuwa mgombea udiwani kata ya Nyasa kada mkubwa wa CUF Yusufu Omari Ally leo amehama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa chadema kata ya Migongo Masasi Mtwara (Kassimu Bingwe).

Kama kawaida Cuf watakanusha,M4C daima 2015 kilele
 
Mungu wangu mke wa mtu kaguswa na M4C.

Peoooooopleeeeeesssssss powwwwweeeeeer
 
Nape yeye anazidi kuweweseka huko mafinga kuwa ni wanaharakati, na ccm haitakubali kuachia nchi wanaharakati.
 
Nape yeye anazidi kuweweseka huko mafinga kuwa ni wanaharakati, na ccm haitakubali kuachia nchi wanaharakati.
Anasahau kuwa nchi hii siyo ya CCM wala ya CHADEMA ni ya watanzania watanzania hata leo wakitaka chadema au chama chochote ndiyo kiongoze hawatahitaji hata kusubiri mwaka 2015....
 
ninachofarijika nacho zaidi ni kuona matunda ya m4c kusini,kumbe hata bila kuwepo slaa,mbowe na wengineo bado raia wanamdu kuisongesha m4c

Dalili nzuri sana hizo. Chama kijijenge bila kutegemea majina au uwepo wa akina fulani. Ni mwelekeo mzuri sana wa ukombozi wa taifa letu. Leo ukiona hadi Mwenyekiti wa kitongoji wa Chadema naye anaitisha mkutano na kuzoa wanachama ujue kumepambazuka.

Hata hivyo Dr. Slaa, Mbowe, na wengineo hawatasahaulika kamwe katika harakati za ukombozi. Majina yao yameandikwa katika kitabu cha kumbukumbu mioyoni mwa watanzania.
 
Mkuu umesema vema kabisa...
 
Mkuu umesema vema kabisa...

Pamoja Mkuu. I salute Makamanda. Ukisikia matingatinga ndio haya sasa. Yanachonga barabara wengine wanapita. Wameshuka hapo kusini kwa wiki moja tu wamevuruga kila kitu. Kazi kwa wenyeviti na wajumbe wa vitongoji kumalizia kazi wakati matingatinga yakijielekeza sehemu zingine korofi.
 
Mungu awabariki wote wanaotaka mabadilikoni na hawaongozwi na matumbo yao
 
Back
Top Bottom