Mtwara Kwa Gesi Bana!! dah

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,887
427
Bibi wa MTWARA alikuwa anasumbuliwa na tumbo.
Majuzi akaenda Hosptal. Dk. akampima akamwambia
"TUMBO LIMEJAA GESI utafanyiwa upasuaji Dar".
Bibi ghafla akatoka mbio akipiga mayowe; Hii gesi
yangu natafuta mwekezaji mwenyewe, haipelekwi
Dar ng'o, Mungu ametujalia wana Ntwala, Gesi baharini hadi matumboni!
 
gas ya tumboni ni nzuri sana kwa kupikia !bibi hana haja ya mkaa tena! watu wa Dar wanataka kila kitu kiende kwao hadi gas ya tumboni!
 
ha ha ha ! mkuu leo Leo una Beef na Watu Wa dar!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom