Mtwara: Aliyebuni ramani ya stand mpya ya mabasi hana akili

Aisee.. Katika designs za stendi za mabasi hapa Tanzania, sidhani kama kuna ambayo inaifikia Mikindani aisee.. Sasa mkuu hicho ulichoweka hapa kinanishangaza maana ni tofauti kabisa na designs iliofanywa na kukabidhiwa kwa Manispaa ya Mtwara hapo.. Tuna shida kubwa aiseee..
Mikindani ni Tanga au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanabodi

Manispaa ya Mtwara/Mikindani imeanza ujenzi wa kituko cha karne katika eneo la Mkanaledi na kubatiza kituko hicho kuwa eti ndiyo stand ya mkoa.

Mkuu wa Mkoa yupo, Mkuu wa Wilaya yupo, wahandisi wapo halafu wote fikra zao zinaishia kuja na kituko cha karne.

Ni bora wangetoa hata ramani ya kisasa wawaruhusu wawekezaji kujenga kwa kufuata ramani hiyo kuliko hiki walichokifanya.

Anyway huenda wakazi wa huko wanapenda.
View attachment 1044641
Engineer tembelea stand ya Mbinga au ya Korogwe upate akili.
Picha yako inanimalizaga kabisa w mtoto...the way ulivyo kaa...nawaza giza tupu
 
Umeniwahi kuweka huu uzi. Tafadhali JamiiForums na Maxence Melo njooni mfanye makala maalumu kuhusu stand mpya ya mkoa wa Mtwara vinginevyo tutakuwa tunapata stress tukifika tu stand. Hai ingii akilini ni bora wasinge jenga kabisa. Hizo fremu sasa ndo balaa utadhani......yaani hili jengo ndo kivutio pekee frame kila mtu kajenga kivyake halafu utasikia mkutano wa ma engineer na huyu anaenda.
 
Nimekiangalia tu hicho kichanja cha kupumzikia abira kimepinda . Nadhani kimejengwa na madiwani wa Cafu na SiSeMi wenyewe bila kushirikisha Engineer.

Hakuna Engineer anayeweza kufanya kituko kama hicho.

Siku zote mtaji wa wanasiasa ni ujinga wa wananchi na umaskini wao.
Hapo kimejengwa harakaharaka ili uchaguzi ujao mtu mmoja tuuuuu apate kura. Kodi za wananchi zimeteketea.
Mabeberu weusi ni wabaya kuliko wale waliouasisi ubeberu.

Nilistaajabu sana yani siku nilivyopita hapo nikakishuhudia kwa macho. Kweli Mtwara kuchele(wa).
 
Hapo mmeliwa nendeni Mpanda Kigoma Korogwe Singida Msamvu Kibaha walau mkajifunze
Hili jengo kubwa la kumpunzikia abiria ni mzuri, labda ramani yao ndiyo imepitwa na wakati, vile vibanda vya kibaha na mbezi mwisho, ikija mvua kubwa yenye upepo, hata mtu na mkwewe, mnakumbatiana.

Hali inavyokua pale, kama unamizigo isiyotaka maji ni hasara tupu.
Cha msingi kwa stendi ya mkoa, ni muhimu kuwa na Banda kubwa la kupunzikia abiria, na wangojao wageni wao.

Cha muhimu wa plani ramani ya kisasa tu, yenye kukidhi mahitaji ya wasafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picture za kisasa zisi kuzuzue mkuu ..utawala wa serikali ya ccm ndio kawaida yao kuwalisha matango pori wananchi ...hata pale tazara ramani ya awali ya mfugale flyover ili kuwa ni ile ya interchange ...kilicho kuja kujengwa kiko tofauti kabisa na ramani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnapenda kuongea mambo ya umbea kama wanawake? Sasa hapo kuna tofauti ipi kati ya render na final work?

Punguza umbea
images (4).jpeg
bd099bb92136a964408efd3056851b98.JPG
 
Hili jengo kubwa la kumpunzikia abiria ni mzuri, labda ramani yao ndiyo imepitwa na wakati, vile vibanda vya kibaha na mbezi mwisho, ikija mvua kubwa yenye upepo, hata mtu na mkwewe, mnakumbatiana.

Hali inavyokua pale, kama unamizigo isiyotaka maji ni hasara tupu.
Cha msingi kwa stendi ya mkoa, ni muhimu kuwa na Banda kubwa la kupunzikia abiria, na wangojao wageni wao.

Cha muhimu wa plani ramani ya kisasa tu, yenye kukidhi mahitaji ya wasafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom