MTV Base West Wamekubali Haters toka Buza kaeni kwa kutulia

Ndio sababu unaona mil1 kufika ni jambo gumu sana.

Simba popote alipo views zinamfata unajua wimbo alioshirikishwa una views ngapi siku ya ngapi leo!
The matter is that....je..wimbo ni wakwake au umekuwa posted kwny youtube channel yake au.. mfano mzuri ni yope remix ...brother wambie wenzako msi mwangushe alikiiba angalien video hyo..
 
The matter is that....je..wimbo ni wakwake au umekuwa posted kwny youtube channel yake au.. mfano mzuri ni yope remix ...brother wambie wenzako msi mwangushe alikiiba angalien video hyo..
Hujui unachokiandika ndugu.haya mambo yenu ya akina alistotee na juma lokole hata mond wenyewe yanamkera ila ndio afanyaje sasa.
 
Haters wa Alikiba

Mshumaa=> Hii ngoma si ya kimataifa haiwezmfikisha popote ni ya hapa hapa

Dodo=> Ngoma Imepooza Sana mda huu watu wanataka ngoma za kubang

So hot, Club banger=>Ngoma mbovu Jamaa kaimba kiunderground

Mods Tafadhali acheni kuunga huu Uzi, Msivyokua makini Jamaa juzi kapost kabla ya wimbo wa alikiba haujatoka nyuzi zilifata nyuma zilizoleta audio na video mkaziunga kwenye ule uzi ambao kama wimbo usingetoka ulikua Fake, hapo mliyumbaView attachment 1473362
Nilidhani ni harmonize pekee asiyekuwa na shati za kutosha. Kumbe hata mfalme?
 
Back
Top Bottom