Mtusamehe tu Sisi tulioitwa ' Wanyonge ' sasa tumeshapata Akili na kwa kilichotokea Salamu yetu rasmi itakuwa ni hii...

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
" Nawasalimu kwa Jina la CAG " ambapo Wanyonge wenzangu nanyi mtaitikia kwa kusema ' Tumepigwa Sana ' sawa?

Kuitwa Mnyonge kwa Tanzania yetu hii Kutukanwa na Kufanywa huna Akili hivyo tusiitane tena tafadhali.

Ni nchi gani barani Afrika kwa Mila zake kama Mtu akiwakosea Mamilioni akifa tu Kaburi lake linachapwa sana tu Viboko?
 
20210402_201836.jpg
 
tatizo bongo kila kitu ni fursa,mtaji mpya ni wanyonge,hawa ni nyumbu wa kuwakamua maziwa,jasho mpaka damu ikibidi na pumzi kabisa,why hard working citizens are the so called Wanyonge? fvck wanyonge
 
" Nawasalimu kwa Jina la CAG " ambapo Wanyonge wenzangu nanyi mtaitikia kwa kusema ' Tumepigwa Sana ' sawa?

Kuitwa Mnyonge kwa Tanzania yetu hii Kutukanwa na Kufanywa huna Akili hivyo tusiitane tena tafadhali.

Ni nchi gani barani Afrika kwa Mila zake kama Mtu akiwakosea Mamilioni akifa tu Kaburi lake linachapwa sana tu Viboko?
Nyie ndo mnafanya bangi ionekane mbaya
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom