Mtuonee huruma jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtuonee huruma jamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zumbemkuu, Oct 15, 2010.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Mumeifilisi nchi yetu tumenyamza…..

  Mumemilikisha ardhi yetu yenye madini tumenyamza……..

  Mumezika raia wasio na hatia wakiwa hai kwa sababu ya udongo mnaita wenye madini tumenyamaza……………………….

  Mumeharibu afya zetu na miili yetu kwasababu ya kemikali zinazotoka kwenye ardhi yetu iliyoporwa kwa nguvu kwa faida ya wawekezaji wanojena afya zao na majumba huko kwao tumenyamza……………………………………..

  Mumewaua ndugu zetu kwenye hifadhi zetu wenyewe kwa kuona wanyama ni muhimu zaidi kuliko sisi na ngozi yetu nyeusi tumenyamza………………..

  Mumetudhalilisha kwa kusema sisi ni wavivu wa kufikiri na kuwa ngozi zetu nyeusi ni dalili ya laana na nywele fupi dalili ya akili ndogo tumenyamza……………

  Mumetujengea shuke zisizokuwa na vifaa wala walimu ili elimu yetu iwe duni na ya watoto wenu iwe bora waendelee kututawala tumenyamaza………………….

  Mumetuondoloea ratiba yetu ya milo mitatu tuliyozoea kwa siku na kuwa mlo mmoja tena mlo usiokamili kutokana na maisha kuwa magumu na mifumuko ya bei tumenyamaza………….

  Mumewadhalilisha babu zetu na bibi zetu wastaafu wanaodai haki zao kiduchu tumenyamaza……

  Mumetulazimisha tuchangie chama chenu bila idhini yetu kwa kushirikiana na makampuni ya simu na TCRA tumenyamaza……………………………..

  Mumewafundisha vijana wetu kwa pesa zetu ili watupunguze viungo vyetu dhaifu na damu zetu kiduchu tulizobaki nazo tumenyamaza………………………….

  Kama hiyo haitoshi mtatuibia na kura zetu TUTANYAMZA.

  NAONA UCHUNGU MWINGI JAMANI, EE MOLA TUTOE ROHO TUJE KWAKO SISI SOTE WANYONGE ILI WABAKI WENYEWE HAPA DUNIANI, MADINI WAYATUMIE WAPENDAVYO, WANYAMA WAPORINI WATUMIE WAPENDAVYO, ARDHI WAJIMILIKISHE WAPENDAVYO, MAJUMBA WAJIMILIKISHE WAPENDAVYO, BAHARI WAITUMIE WAPENDAVYO,
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu, hakuna sababu ya kukata tamaa kiasi hicho, watudhulumu halafu bado tufe sisi tena!!? Hapo ni big no! wafe wao, watubakizie vichache vilivyosalia na sisi tuvifaidi. Nasema wafe wao kabisa siyo sisi, Eeee Mungu wachukue hawa mafisadi haraka sana kutoka kwetu ili japo na sisi tufaidi matunda ya nchi uliyotupa.
   
 3. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Oh Maskini poa, usikate tamaa kiasi hicho! Saa ya Ukombozi yaja, nao wote watayeyuka kama barafu iyeyukavo jua linapowaka! Sala yako imesikika na Mungu atakujibu, atatujibu!
   
 4. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it" - Malcolm X
   
 5. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM rules!
  CCM cares for all Tanzanians regardless of their economic status or race.
  Go JK
  Go CCM:A S thumbs_up:
   
 6. R

  Rugemeleza Verified User

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama kuna ushahidi wa CCM na TCRA kuchangisha watu bila hiari yao basi uleteni ili nione namna ya kupambana na upuuzi huu. Hii ni kesi nzuri na watu wataipatapata. Sitanii
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  ni kweli bora mafisadi wafe, km RA, Pesa2, JK, EL, AC aka vijisent, kinax2 etc tuonje hata faida ya uhuru wetu baada ya kuteseka karibu nusu karne.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Wafe kwanza Wahindi na Mafisadi
   
 9. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  tatizo lako ndugu zumbe mkuu ni kujiwekea na kutamani maisha ya juu wakati mambo hayaendi hivo taratibu tutafika na ccm yetu.kama vupi ishi kama waadzabe na khoisan uone maisha yalivo matamu.usikate tamaa maisha utafika tu safari yako.
   
 10. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Masikini weee!
  Slaa kavuruga bongo lako mpaka limeanza kutoa harufu mbaya ya kukata tamaa
  angalia usije ukakimbilia kutoa roho yako shauri ya SIAHASA, huo ni mchezo wa muda,, unakuja na kuondoka...naelewa ni mara yako ya kwanza kuingia kwenye uchaguzi...POLE SANA

  Nakushauri ikifika November 2/3-2010 wakati watu wanashangilia,, ukae ndani wala usiangalie luninga,, weka pamba masikioni mwako usisike vigele gele vya ushindi,,, otherwise UTAKUFA KIHORO
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Tukae mghoshi
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tumia kura yako tu hiyo tarehe 31 ndo siaha yako!
   
 13. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  HATUJANYAMAZA KABISA!! usiku kucha jana nilikuwa nasikiliza hotuba za zito na kushuhudia umati na msisimko wa watu katika mikoa ya kigoma, shinyanga na mara. huu ni ushahidi kuwa hatujanyamaza kabisa. changamoto ni kulinda kura tuuuuuuu
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  netisimame du mghoshi, kama mbwai mbwai, maduka yapanganywe, CCM jawe, CHADEMA jawe, CUF jawe.
   
 15. P

  Preacher JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  dont include all tanzanians being cared by ccm - its a lie - as for me it does not care for me -
  even for you - dont deceive yourself - how about all the disabled children hidden inside majority of indians houses?? Are they also cared for by the ccm????
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mtakuwa wa kwanza wa kukimbia nchi baada ya Oktoba 31.
   
Loading...