Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Jinsia take huyo mtumishi tafadhali
 
Vita ya ufisadi ni endelevu, ndiyo maana mahakama zakushughulikia mafisadi hazijafutwa, na ilani ya CCM ya 2020 inazidi kusisitiza mapambano dhidi ya ufisadi.

Ukumbuke neno ufisadi ni neno la jumla linalojumuisha maneno ya wizi, rushwa,uzandiki, utapeli, na mengine kama hayo. Katika jamii inayoishi mambo haya udhibitiwa, lakini ni nadra sana kuyaondoa kabisa.

Leta swali lingine.
Rubbish ccm inapinga ufisadi kuanzia lini?
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Ndio yale ya kuangalia documents tu, kama ziko poa basi hakuna shida hakuna reasoning
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Angetapika kwani Erio ni kabila gani?
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Ramadhan Dau ndio aliasisi huu mchezo
 
Back
Top Bottom