Mtumishi aweza kusimamishwa kazi bila kupewa mashtaka yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtumishi aweza kusimamishwa kazi bila kupewa mashtaka yake?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by YanguHaki, Apr 25, 2012.

 1. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wa kisheria. Kuna jamaa yangu kapewa barua ya kusimamishwa kazi bila kupewa maelezo ya mashtaka yaani charges zake! Barua inasema mashtaka yake atatumiwa hivi karibuni. Utaratibu ukoje? Je ni halali kisheria kwa yaliyotokea?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hela hiyo,nenda mahakamni kafungue kesi,Je ulishawahi/alishawahi kupewa warning mbili huko nyuma?
   
 3. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana hajapata barua yoyote ya onyo au tuhuma zozote ndani ya utumishi wake!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Basi mtafute mwanasheria ukale mamilioni hayo!
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  tafuta lawyer, ila awe lawyer mzuri na wewe uwe na kitita kizuri cha pesa..utampa nyingi na mwishoni yeye atashinda kesi kwaajili yako nawe zitarudi..ukitafuta lawyer uchwara atakuzunguka chenga ya kisigino, anakula kote kota, kwako anakula na kwa adversary wako anakula...hapo sasa...bongo hii..
   
 6. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  guys hakna principles of natural justice ktk procedural stages eg.km kna uchunguz unafanyka na km kujua kwako allegation ktatia doa uchunguzi, narud on the other side km unahc umeonewa nenda labour ofc au mediation n' arbitration sio mahakaman direct mana labour cases zmetengwa.
   
 7. M

  Mang'era New Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yawezekana kama yuko bado kwenye kipindi cha matazamio yaani probation period
   
Loading...