Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
JIBU NI HILI

Kama bado unaamini kuwa alikufa msalabani, basi alikuwa ni mtume wa uwongo na amelaaniwa na Mungu kwa mujibu wa vifungu hivi:

Kumbukumbu 13:5 “Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe...”

Kumbukumbu 21:22-23: “Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake
usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.”

Kuamini kifo hicho cha msalabani ni kuabisha unabii wake.

Wayahudi wanadai kuwa wao wamemuua Yesu msalabani ili kuonyesha kuwa Yesu ni nabii wa uwongo.

Wakristo wanaamini kuuliwa msalabani, ni lazima kwa ajili ya imani yao ya kuokolewa dhambi na, matokeo yake,
wanalazimika waamini kulaaniwa kwa Yesu, vilevile.

Imani hii ya Kikristo inapingana na mafundisho ya Biblia katika Hosea 6:6 “Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.”

Pia inapingana na mafundisho ya Yesu mwenyewe katika Matayo 9:13 “Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya,
Nataka rehema, wala si sadaka...”

Yesu amesema tena katika Matayo 12:7 “Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia
Wanamfanya yesu kama mbuzi ahahahaahahahaha
 
Huna MAMLAKA WALA SIFA YA kuwasema WAKRISTO tatizo la kutojua kusoma bado limekunda na utakufa nalo kama aliyo kufa baba kassim
Ahahahahahahhaajajaajaj unaanza kutoa mapepo, wakristo awaelewi na watapata tabu sana asa kitendo cha kumfanya mtu kuwa Mungu kitawatafuna sana
 
wewe mwenyewe umeandika HATUELEWI sasa ukiambiwa sababu ya KUTOELEWA WA KUKUELEWESHA KAFAÀ KAFA... usiwe mbishi kama ust omary aliesema kwamba wowote atakaesema baba kassim kafa namsembua kichwa HAKI YA MUNGU USIPO TUBU KAULI YAKO YA MUNGU HANA UWEZO KAMA UTAIONA PEPO KWA KUFURU HIYO LABDA MUNGU BABU YAKO ALIYE MZAA mushahara TUBU DAUDI KABLA HUJANUNA
Pepo ya kuimba imba anaitaka nani? yaani mimi nijitese ujira uwe kuimba , kauli yangu ipo pale pale Mungu awezi kufanywa Toy na viumbe wake, huo ni upungufu wa akili
 
angekamilisha angesema View attachment 866160 tatizo bado linakurudia kwamba HUJUI KUSOMA kama unaona unajua KUSOMA kamkoromee allah na baba kassim walio sema HUJUI KUSOMA, HUJUIIII ni mazwazwa tu! na dalili mojawapo ni kwamba HUJUI NI KUMBISHIA mgen wakti si yeye aliye sema ilaha kanukuu kauli ya allah kwa mdomo Wa baba fatuù kwamba HAMJUI KUSOMA kama kweli wewe sio kafir kwa kauli HIYO YA ALLAH KUWA HUJUI KUSOMA ungepiga takbirr kubwa na kufunga bakuli lako
Ni kweli wapo miongoni mwao kama wewe , Mungu anakwambia Yesu ni mtu alietumwa na Mungu , Wewe umeendelea kutoa mishipa ya shingo na kutoka povu eti yesu ni Mungu, wewe huwezi kujua kitabu bali utajua kufuru zile za bwana Paulo ahahahahahhahaahahahaa
 
Inabidi tuwachukulie tu kwani ni kuliko wanafunzi wa chekechea , wanakunya na kujikojolea hapohapo, vitu vinawaingia polepole lakini shetani hawawachi bado
Ahahaahahhhahahahahahaha dondosha moja moja mpaka adabu iwapate wajue muumba wa mbingu na nchi anahitaji heshima sio kumlinganisha na viumbe vyenye kwenda chooni
 
wewe mwenyewe umeandika HATUELEWI sasa ukiambiwa sababu ya KUTOELEWA WA KUKUELEWESHA KAFAÀ KAFA... usiwe mbishi kama ust omary aliesema kwamba wowote atakaesema baba kassim kafa namsembua kichwa HAKI YA MUNGU USIPO TUBU KAULI YAKO YA MUNGU HANA UWEZO KAMA UTAIONA PEPO KWA KUFURU HIYO LABDA MUNGU BABU YAKO ALIYE MZAA mushahara TUBU DAUDI KABLA HUJANUNA


JIULIZE, kwa nini watu wanaamini ufufuo?

MAJIBU

Paulo ndiye aliyefundisha ufufuo: Matendo 17:18 “...Wengine [Wayahudi] wakasema, Mpuzi huyu [Paulo] anataka kusema nini?
Wengine walisema, Anaonekana kuwa mtangaza habari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akihubiri habari za Yesu na ufufuo.”

Paulo ambaye hajamwona Yesu, vilevile alikiri kuwa ufufuo wa Yesu ni Injili yake 2 Timotheo 2:8 "Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka
katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo injili yangu."

Vilevile Paulo alikuwa ni mtu wa kwanza kutangaza kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu: Matendo 9:20 “Mara [Paulo] akamuhubiri Yesu katika masinagogi, ya kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.”

Kwa hiyo, Ukristo si mafundisho ya Yesu bali ya Paulo.
 
Mkristo...usijifanye Fundi Wa lugha zaidi ya aliye Tafsir hilo daftari lenu


Imani ya kuamini Mateso na Kifo cha Yesu kuwa ni wokovu, imekubaliwa na Kanisa baada ya karne tatu au nne tangu kuondoka kwa Yesu na kuicha dunia hii.

Imani hii inapingana na Biblia, kama vinavyoonyesha vifungu vifuatavyo:

Kumbukumbu 24:16 “Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.”

Yeremia 31:30 “Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe...”,

Ezekieli 18:20 “Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe; haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.”

Adamu na Hawa walibeba majukumu ya dhambi yao wenyewe, liyosamehewa na Allah kwa mujibu wa kitabu cha Uislamu.

Kwa nini unaamini ufufuo ikiwa Paulo mwenyewe, ambaye kamwe hajamwona Yesu akiwa hai, amekiri kuwa hilo lilikuwa ni la injili yake?

Soma 2 Timotheo 2:8.

"Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo injili yangu."
 
Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
Tusidharau uwezo wa Mungu. Yuda hawezi kua factor..
 
Alimbusu kwani alimwabudu ??

Unashindwa kutofautisha jiwe na Mtu mbona mwenzio omari Alifahaimisha vyema
IMG_20180912_213156_271.jpg
kweli mpo gereza la shetani
 
Jibu swali wacha mboyoyo ahahahahahhahahahahahahah

amekuonya sana baba kassim kwamba
IMG_20180914_204009_618.jpg
haya akawapa Maelekezo tena wanao mwamini
IMG_20180914_204752_090.jpg
lakini kwa sababu wewe ni kafir innsui tena umevaa kibri!unamuona baba yake kassim hana alijualo ni zwazwa wahedi tu sasa wewe huamini ayat za mungu wako afu unataka Mimi niziamini wee itakuwa una mtindi Wa ubongo hau
4e84e7fa63e741963e5cec01c3c4955d9df1bb1d (1).jpg
 
Umeiganda Al baqara 78 kama ruba , huna jengine ndio iliyobakia , HAMAA HUKOOO USIJITIE WAZIMU
Nimeweka mto usingizi mnonooo kumbe hujui ADUI MKUBWA UISILAMU NI VITABU VYA KISILAMU NA WAISILAMU WENYEWE
 
unataka kila alilofanya yesu mtume afanye ahahahahaahahaahha Yesu njaa ilimkamata mpaka akatoa laana kwa mti , kweli njaa mbaya
unakurubuka as if umetoka kwenye miratul rasul ha kumuingilia maiti hilo jibu ulilo leta limewiana vipi na mazungumzo yangu na gavana
 
You killed it, even a fool can understand your detailed explanation. Bravo.
Some people reject the truth only because it requires change.
Kama ulishaona hivi karibuni Bondia wa wa Kibongo Hassan alipigana na Bondia wa kiingereza na kumpiga. Baada ya hapo alikuja mkalimani mmoja ambaye alikuwa anatafsiri maneno ya Hassan kwa kizungu wakati akihojiwa na mwandishi wa habari wa Uingereza. Huyo mkalimani alikuwa anaongea maneno tofauti na alichokuwa akikisema bondia Hassan. Lakini aliyekuwa anajua kuwa huyo mkalimani anachapia uongo tu ni mtu anayejua kiswahili tu. Kwa wazungu walikuwa wanamuona mkalimani mtu SAFI kabisa na huenda wamempa sifa nyingi huko kwao kwa kutafsiri bila kusita. Wazungu ni sawa na vipofu na sisi wenye kujua kiswahili ni sawa na wenye macho.

Sasa hapo jifananishe wewe sawa na wazungu wakati unapomsifia Venture kuwa katafsiri vizuri. Wewe ni sawa na kipofu.

Sasa endelea kusoma Uzi huu tukufahamishe makosa ya Venture.
 
Ahahahahahahahahaha tatizo sio kusimuliwa tatizo ni kusimuliana uongo , kama 1+1+1=1.huu ni uongo uliovuka mipaka lazima tukufundishe ili ujinga ukutoke, kuwa mpole
Kwa akili za mtu ASIEJUA KUSOMA NA ANAE MSOMEA KAFA UMEPATIA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom