Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Huyu haelewi hata aliposimamia wapi, mradi anabisha kubisha tu.

Hata anachobisha hakijui, hajui anabishaje, kwa sababu gani, kivipi, wapi, kwa mantiki gani.

Anabisha tu.

Hajui hata anapokubali na anapokataa, anakubali, halafu baada ya kukubali, anabisha tena alichokubali.

Anabisha mpaka anabisha hata kwamba anabisha!
Yaani ni shida.
 
Nani alikuambia kuwa sielewi ninachosimamia?
 
Em tuambie, Abrahamu wa kwenye Koroani aliambiwa na akina nani achome masanamu ya wapagani. Ikiwa allah hakumshushia wahyi ? Na mnasema allah sio Mtu na pia hazungumzi moja kwa moja na manabii wake. Abrahamu Alijuaje?

Ukishindwa hili swali choma hicho kitabu uje kumpokea Yesu.
Tumekusikia hivi Yule unayedai alijibandika nyama unayemuabudu pale aliposujudu alikuelekezea wewe makalio??
 
Gavana
Hebu jibu hii hoja ya Padri Mgeni hapa.
Je ni kweli mtume wako Muhammad alifanya mapenzi na maiti za watu kama alivyonukuu mgeni hapo ?

Kwanza mwambie ajibu swali langu , hivi Yule anayemwabudu ambaye anadai alijibandika nyama, pale aliposujudu alimwelekezea yeye makalio?
 
Kuna Shida zaidi ya kumwabudu kiumbe mwenzako ambaye unadai eti alijibandika nyama?? kama vile alikuambia hivyo??

Sisi Wakristo Mungu wetu anajulikana EMANUEL). WE MUST PROUD ABOUT IT.

Ndio maana nikakuuliza, Kwakua allah ni Tawheed na creator(Muumbaji). Allah hana umbile wala HAJULIKANI ANAFANANAJENNA HAWEZI KUJULIKANA wala hazungumzi na watu.

Je Ibrahimu(Version of biblical Abraham) alijuaje kua watu wa jamii yake wanaabudu masanamu badala ya allah aliyeumba ulimwengu. Kisha akayavunja vunja masanamu Alimjuaje allah. Ikiwa hakushushiwa wahyi wala tanzil?.
 
.

Pili sifa za Roho Mtakatifu, hazipo kwa Mohammad. Huyu Roho anatajwa kukaa milele. Lakini mohamad amekufa.
 
1. Roho Mtakatifu alishuka siku ya Penteconste. Ukisoma Matendo utaweza kuona. Yesu Kristo, Hakuhitaji kusubiri miaka 600 baadaye ndio aje kupitia Uislamu. Wakati alisema akiondoka atamleta. Zingatia discrepancy ya miaka yote hiyo.

2.) Roho wa Mungu Hukaa hata milele.

Yohana 14:16
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;

LAKINI PIA kama ambavyo kuamini katika Imani za mashetani. Inasababishwa na nguvu za Roho za mashetani. Waganga na wachawi na wasoma falaki huwatambua hao.Vivyohivyo, kuweza kumtambua Mungu wa Kweli na kumfuata inahitaji nguvu ya Roho wa kweli wa Mungu. Roho huyu alikuwepo nao kwakua Yesu alikuwepo nao. Na ndiye aliyewafanya wakaweza kumtambua Yesu na ujumbe wake na kukaa naye hadi alipopaa kurudi kwa baba yake mbinguni.

Yohana 14:17
ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye ATAKUA NDANI YENU.

2). Umuhimu wa Ubatizo NA Msalaba wa Kristo:-

Mohammad hakubatizwa wala kumjua Yesu Kristo. Ukilingamisha na wanafunzi wa Yesu Kristo walivyokufa mashahidi wa Injilbya Kristo. Na zaidi ya yote Mohamad Alienea imani yake kwa kuua watu kwa upanga. Wakati Yesu hakuhukumu ulimwengu. Bali alikuja kuuokoa.

Marko 10:39
Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi MTAKINYWEA, na ubatizo nibatizwao MIMI MTABATIZWA

3. YESU ATANGAZA Hukumu ya mashetani(majini/watoto wa IbilisI).

Yesu kama Jaji Mkuu siku ya Mwisho alishatangaza hukumu ya shetani na malaika zake. Kua hawana sehemu katika Ule Mti wa Uzima. Wamewekwa akiba kwa ajili ya Moto.

Luka 10:18-19
[18]Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme.
[19]Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.

Yohana 16:11
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.

Yesu alikasirishwa nA MAFARISAYO Kuhusisha uponyaji wake na uponyaji ufanywao na mashetani. Akiweka wazi ni sawa na kumkufuru Roho Mtakatifu. Yesu aliweka wazi Uadui kati ya Ufalme wa Shetani na wa Mungu.

Lakini Kinyume chake Mohammad alitangaza Ukombozi wa Majini na wanadamu kupitia Dini yake. Hii ni kinyume na Maagizo ya Yesu na hata Imani ya Wajudea kwa ujumla wake. Kwa maana imeandikwa hapana Uganga ndani ya Israel. Unaweza kuona kwenye Quran kuna surah inaitwa surah ya majini. Sasa mafundisho ya Yesu ni Juu ya Habari njema za Ufalme wa Mungu na sio habari za Maruhani. Manake haya yote Ziwa la Moto limewekwa kwa ajili yao. The teachings of Mohammad contradict Jesus Teachings severely!.

HITIMISHO

Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Zingatiza NENO hili hapa chini la Yesu.

Luka 11:23 YESU ANASEMA;-
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya

Let me tackle your main points as follows;

1. Roho Mtakatifu alishuka siku ya Penteconste. Ukisoma Matendo utaweza kuona. Yesu Kristo, Hakuhitaji kusubiri miaka 600 baadaye ndio aje kupitia Uislamu. Wakati alisema akiondoka atamleta. Zingatia discrepancy ya miaka yote hiyo.

️ Kama wewe ni muumini wa Biblia wapaswa kuisoma Bible na kuielewa. Hayo ni maneno munayoambiwa na Mapadri wenu. Tutazame Je Bible yenyewe inasemaje?

Its revealed in the Old Testament. For instance, Moses told the Israelites prior to entering the Promised Land that “The LORD your God will circumcise your hearts and the hearts of your descendants, so that you may love him with all your heart and with all your soul, and live” (Deuteronomy 30:6). This circumcision of the heart is the work of God’s Spirit and can be accomplished only by Him. We also see the theme of regeneration in Ezekiel 11:19-20 and Ezekiel 36:26-29.

You can see that Holy Spirits was here in this world way before Pentecost. Your claim that holy spirit came down in Pentecost only shows CLEAR CONTRADICTION OF YOUR BIBLE. It is totally Misleading.

Sitaki kuingia katika suala la ubatizo wa Yesu kwani hiyo itakuwa diversion ya Maada yetu,hiyo itakuwa topic Mpya. Let us stick with Holy Spirit translation.

Tazama ni kwanini tunaweza Kuwa Yesu alikuwa anabashiria Ujio wa Prophet Muhammad kwa ulimwengu.

John 16:
12“I have much more to say to you, more than you can now bear. 13But when he, the Spirit of truth, comes, he will guide you into all the truth. He will not speak on his own; he will speak only what he hears, and he will tell you what is yet to come. 14He will glorify me because it is from me that he will receive what he will make known to you. 15All that belongs to the Father is mine. That is why I said the Spirit will receive from me what he will make known to you.”

Also recall John 3:6
That which is born of the flesh is flesh; and that which is born of the Spirit is spirit.

In John 16 it's clear that HE is a MAN, a flesh.
That's according to Jesus and according to the translation. The is no other translation of HE different from MAN. From the abible language Materialistic is flesh and if you are spiritual may stand for the word Spirit.

Now 1 John 4:
1 Dear friends, stop believing every spirit. Instead, test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world.
2 This is how you can recognize God's Spirit: Every spirit who acknowledges that Jesus the Messiah has become human—and remains so—is from God.

So hapo Jesus tells you that the True God's Spirit is the one who acknowledged that Jesus is a Messiah and is human and is sent from God. So let's what Mohammed says about Jesus;

IN Quran Chapter 3 verses 42-45;
( 42 ) And @ when the angels said, "O Mary, indeed Allah has chosen you and purified you and chosen you above the women of the worlds.

( 43 ) O Mary, be devoutly obedient to your Lord and prostrate and bow with those who bow [in prayer]."

( 44 ) That is from the news of the unseen which We reveal to you, [O Muhammad]. And you were not with them when they cast their pens as to which of them should be responsible for Mary. Nor were you with them when they disputed.

( 45 ) [And mention] when the angels said, "O Mary, indeed Allah gives you good tidings of a word from Him, whose name will be the Messiah, Jesus, the son of Mary - distinguished in this world and the Hereafter and among those brought near [to Allah].

As you can see, Prophet Mohammed said exactly what Jesus told you what he would day about him and that he is the TRUE GOD'S SPIRIT who was sent to complete Jesus work.
 
Hakuna contradiction, Ni Kweli kua Yesu alikuja kwa ajili ya Wana wa Israeli. Kwa maana ya kuzaliwa na kuinjilisha. Injili ambayo hapo baadaye ilitakiwa iwafikie mataifa yote ulimwenguni.

Fahamu kua Zamani zile wana wa Israeli walikua wanatawaliwa moja kwa moja chini ya Utawala wa Mfalme herode ambaye hakua mwisraeli bali Mgiriki. Na pia wote wakilipa kodi kwa utawala Mkubwa wa Roma ya Caesari(Siza/kaisari)..kwasababu Utawala wa Wagiriki ulikua chini ya utawala wa Rumi(Roman Empire).

Mfalme Herode pamoja na kua ni Mgiriki aliwasaidia waisraeli kuwajengea Hekalu la Yerusalemu lililokua limebomolewa na wakaldayo.

Lakini wana wa Israeli waliamini akija Masiha, atakua Mfalme wao. kwa mfano wa akina Mfalme Daudi atatawala kama ilivyo watawala wa Dunia.

Imani hii ilimgusa hadi MFALME Herode ambaye alijaribu kufanya upelelezi Ili amuue Mtoto Yesu Kristo ili kulinda milki yake.

Mathayo 2:3-4
Basi mfalme Herode aliposikia hayo, ALIFADHAIKA, na Yerusalemu pia pamoja naye. [4]Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?

ALIPOMKOSA YESU, MAANDIKO YANAELEZA ALIUWA WATOTO WOTE WA KIUME WALIOZALIWA ENEO HILO wa umri wa kufikia hadi miaka miwili, ili kama kuna mtoto ambaye yuko destiny kua mfalme akatize ndoto hizo (Mathayo 2:16).

Waisrseli walishathubutu kumfanya Mfalme vile wanavyoona.

Yohana 6:1
Kisha Yesu, hali akitambua ya kuwa walitaka kuja kumshika ili wamfanye MFALME, akajitenga, akaenda tena mlimani yeye peke yake.

Madai haya yalikwenda hadi wakati akikaribia kusulubiwa.

Yohana 18:36
Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.

Mtume Petro ni mmoja ya watu waliotaka kupigana vita kumlinda Yesu asikamatwe na wayahudi( Mathayo16:23; 26:52 )

Na baada ya kusulibiwa

Mathayo 27:37
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. Madai haya yaliendelea hata alipofufuka.

Matendo ya Mitume 1:6
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme?

Lakini maandiko yanaweka wazi nafasi ya Yesu kwa ulimwengu.

Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.

Matendo ya Mitume 13:47
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.

Yohana 1:11-13
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Matthew 15:22-28 New International Version (NIV)

22 A Canaanite woman from that vicinity came to him, crying out, “Lord, Son of David, have mercy on me! My daughter is demon-possessed and suffering terribly.”
23 Jesus did not answer a word. So his disciples came to him and urged him, “Send her away, for she keeps crying out after us.”
24 He answered, “I was sent only to the lost sheep of Israel.”

Sijui unajua maana ya "ONLY"??? Umeleta maneno mengi trying to justify kuwa Yesu ameletwa kwa ulimwengu mzima. Let us stick to the Bible words and not translate information different from its meaning.

Clearly BIBLE is CONTRADICTING. It's undeniable.
 
Unajichanganya mwenyewe halafu unaleta madai ya kizwazwa humu ooh Biblia Inajichanganya kwa hiyo allah amewaagiza kuamini Kitabu kilicho jichanganya
IMG_20180911_112515_009.jpg
BIBLIA TAKATIFU HAMUIAMINI, koloani hamUIamini halafu inatambua huku uswazi na sigda kaa kifuu, bakora mkononi, kijuba, tasbihi kete kubwa imeishia ndevu...mii muislamu salamaleko nyingiii kama nyama za pilau mfuto
 
Kwanza mwambie ajibu swali langu , hivi Yule anayemwabudu ambaye anadai alijibandika nyama, pale aliposujudu alimwelekezea yeye makalio?
Tunajadili MAANDIKO ambayo wewe na Mimi tunayaishi, na sio mambo yako ya kilingeni... wee unaanza kunawa kisha unakata gogo unavaa bukta na kanzu unaona reha unayo imwaga
 
Nani alikuambia kuwa sielewi ninachosimamia?
Wewe mwenyewe kwa maandishi yako umeshindwa kupinga unachosema si sawa.

Umesema habari zangu kwamba Biblia inasema Mungu ni omnipotent, omniscient na omni benevolent zina mushkeli.

Nimekupa nafasi uoneshe mushkeli huo uko wapi, umeshindwa.

Sasa nakukata ngebe na kilimilimi.

Umetaka nioneshe kwenye Quran na kwa Philosophers ndiyo ujibu.

Nakataa kukupa excuse, nakuonesha hapa

The Quran on Omnipotence

http://www.islamforchristians.com/names-and-attributes-of-god-the-omnipotent/

The Miracles of the Quran: The Omnipotence of God

The Quran on Omniscience

Allah, the Omniscient

Say: Do you instruct Allah about your religion? But Allah knows all that is in the heavens and on the earth; Allah is Knowing of all things” Holy Qur'an (49:16)

Quranic Reflections – The Omniscience of Allah

The Quran on Omni benevolence

Quran 1:1-3: In the name of Allah, the Entirely Merciful, the Especially Merciful. All praise is due to Allah, Lord of the worlds - the Entirely Merciful, the Especially Merciful,

Omnibenevolence of God - Straight Forward

Kwenye falsafa, soma "The Philosophy of Religion:An Anthology"
 
Yesu aliweka mayai yote kwenye kapu moja maana alijua baada ya yeye kuondoka mambo yatavurugwa sana na yeye kuzushiwa mengi sababu yalianza kuvurugika tangu akiwepo had wakataka kumuu...ukisoma kwenye bible the sign of jonah kama ilivyo andikwa kwenye mathew 12 :38-40

38 Then some of the scribes and Pharisees told Jesus,[a] “Teacher, we want to see a sign from you.”

39 But he replied to them, “An evil and adulterous generation craves a sign. Yet no sign will be given to it except the sign of the prophet Jonah, 40 because just as Jonah was in the stomach of the sea creature for three days and three nights, so the Son of Man will be in the heart of the earth for three days and three nights

Nimetumia ya kiingereza sababu ya kiswahili ina upungufu wa msamiati...kwenye tafsir ya siku....

Yesu akiwaambia hakuna ishara itakuja kama ishara ya yona kama yona alivyokuwa kwa siku tatu(mapungufu ya kitafsiri) ndani ya tumbo la bahari ndivyo mwana wa adamu atakavyokuwa kwa siku tatu ndani ya tumbo la nchi.

Sasa Yona alimezwa na samaki akiwa hai,akaa kwenye tumbo la samaki akiwa akiwa hai na akatemwa na samaki akiwa hai

Sasa ukisema yesu alisulubiwa akafaia msalaban tutakuuliza yesu akisema kama kulichompata yona ndicho kilitakachomkuta kwa maana hiyo alitakiwa kuwa hai na asife msalaban na hapo ndipo muujiza ulipo kwamba mtu alitarajiwa kufa na hakufa sababu kachomwa had mkuki wa tumbo...sasa aukisema kafa maana yake hajatimiza agano maana alisema kama yona ilivyomtokea naye alipswa awe hivyo hivyo.au utakuwa unamaanisha yesu aliongopa na mi siamin kama yesu anaweza kudanganya.

Na ukisema hakufia msalaban ( kitu ambacho kinakaribiana na ukweli kwa sababu maria madgalena alienda kumkanda vidonda siku ya tatu sasa sijui wayahud au wakristo huo mnaenda ku massage maiti siku ya tatu?) ukisema hivyo maana yake msingi wa iman yenu ni bure yesu hakufa kwa dhambi zenu bali alisubuwa tu..kama alivyosema paulo kama yesu hakufa msalaban bas iman yetu ni bure

Na ukiamim hakusulubiwa unakuwa sawa kuwa Mungu alimficha kwenye tumbo la ardh kwa siku tatu kabla ya kupaa..!. Kwa mujibu wa kauli yake yeye kuhusu alama ya yona

Na hata tukisema tuangalie hiyo three days and three nights yesu alitolewa msalaban ijumaa jion kabla ya kuingia sabato hivyo akakaa ijumaa usiku kisha jumamosi mchana kisha jumamosi usiku na jumapili asubuhi kaburi lilikuwa tupu hata kama hujui hesabu hapo ni two nights and one day na hata kwa kuswahili sio siku tatu..!...hivyo tena bible inajikanyaga na bado alama ya yona haijatimizwa..nani muongo?bible au yesu?

Kiujumla ni story ya kutunga huenda lilitokea lakin hakuwa yesu ndio maana ya yesu kuwaelezea sign of jonah kuwa hichi kitu ndio kitakachomtokea na itawavuruga sana kwaana uzushi wowote ynatajiwa uende ku match na kilichomkuta yonah na nyie kwenye bible hamna kilicho match...na tena alijiita mwana wa adamu..!

Polen kwa maelzo marefu
 
Nashukuru kwa bandiko lako! Maana limeimarisha zaidi Imani yangu kwa Yesu
 
Unajichanganya mwenyewe halafu unaleta madai ya kizwazwa humu ooh Biblia Inajichanganya kwa hiyo allah amewaagiza kuamini Kitabu kilicho jichanganya View attachment 862767 BIBLIA TAKATIFU HAMUIAMINI, koloani hamUIamini halafu inatambua huku uswazi na sigda kaa kifuu, bakora mkononi, kijuba, tasbihi kete kubwa imeishia ndevu...mii muislamu salamaleko nyingiii kama nyama za pilau mfuto
Wewe ni Katika watu ambao hawana hoja ya kuchangia. Yaani ulichokituma na unachokiongea ni vitu viwili tofauti. Yaani hauna tofauti na chizi anayetembea barabarani na kuongea vitu visivyoeleweka. Unahitaji utafakari hali uliyokuwa nayo kwanza. Mazungumzo yako hayana tija. Nimekwambia waache maprdi wenu wachangie hoja hizi, huenda wakaokoka. Wewe ni sifuri tu.
 
Unajichanganya mwenyewe halafu unaleta madai ya kizwazwa humu ooh Biblia Inajichanganya kwa hiyo allah amewaagiza kuamini Kitabu kilicho jichanganya View attachment 862767 BIBLIA TAKATIFU HAMUIAMINI, koloani hamUIamini halafu inatambua huku uswazi na sigda kaa kifuu, bakora mkononi, kijuba, tasbihi kete kubwa imeishia ndevu...mii muislamu salamaleko nyingiii kama nyama za pilau mfuto
Kwanza hakuna kitabu kinaitwa Koloani...pili biblia sio neno la Mungu na wa waislam hawajaambiwa waifate biblia kitabu alichopewa yesu ni injili sio biblia kwanza hiyo biblia hajawahi hata kulisikia wala kulitamka...na hata injili yake alikuja nayo haipo wameichakachua kilichopo ni injili ya lula,matayo,yohana ya Yesu iko wapi...au mnata kusema yesu alikuwa anatembea kina luka,matayo,yohana,marko na kuhubiria watu...biblia imekuja miaka 300 baada ya yesu kuondoka mkusanyika wa vitambu mbali na waandishi 40 wasiojulikana ndio wakaandika bible ya kwanza ikiwa kwa lugha ya kigiriki na kilatin na bible zingine zote zimetafsiriwa pale lugha ambayo hata yesu alikuwa haizungumzi...hata jina JESUS sio la kwake ni jina la kilatin hata leo jina jesus hulikuta mashariki ya kati ila nenda spain na latin america ndio utakuta hilo jina yeye juna lake mama yake alimuita ISO na jina lingine Yoshua.!...mmekuja kusema malaika alimuambia mtoto atakae zaliwa jina lake ataitwa emanuel nitajien sehem yoyote kwenye bible yesu aliutwa au kutajwa kwa jina hilo...yesu jina alilopewa kutoka mbinguni ji masihi ikatasfriwa kwa kigiriki kuwa kristos na kiingereza ndio crirst...sio emanueli.!..

Naawapien wakristo mna nafasi moja ya kuish kama unausoma ujumbe huu hauji kwa bahati mbaya ni Mungu ameamua kukuonesha kesho usije kumlaumu ni jukumu lako kumtafuta Mungu wa kweli ukijifanta shingo ngumu shauri yako maana amesema hatuta muhukumu yoyoye ila yule tu tuliempelekea ujumbe..!
 
Wewe mwenyewe kwa maandishi yako umeshindwa kupinga unachosema si sawa.

Umesema habari zangu kwamba Biblia inasema Mungu ni omnipotent, omniscient na omni benevolent zina mushkeli.

Nimekupa nafasi uoneshe mushkeli huo uko wapi, umeshindwa.

Sasa nakukata ngebe na kilimilimi.

Umetaka nioneshe kwenye Quran na kwa Philosophers ndiyo ujibu.

Nakataa kukupa excuse, nakuonesha hapa

The Quran on Omnipotence

God (Allah) is the Omnipotent

The Miracles of the Quran: The Omnipotence of God

The Quran on Omniscience

Allah, the Omniscient

Say: Do you instruct Allah about your religion? But Allah knows all that is in the heavens and on the earth; Allah is Knowing of all things” Holy Qur'an (49:16)

Quranic Reflections – The Omniscience of Allah

The Quran on Omni benevolence

Quran 1:1-3: In the name of Allah, the Entirely Merciful, the Especially Merciful. All praise is due to Allah, Lord of the worlds - the Entirely Merciful, the Especially Merciful,

Omnibenevolence of God - Straight Forward

Kwenye falsafa, soma "The Philosophy of Religion:An Anthology"
Padri kiranga
Umezungukaaaa weeeeeeeeee mwisho baada ya kugoogle ndio ukaja na link unazozitaka

Sasa nionyeshe wapi nilikuambia sielewi ninachosimamia?
 
Kwanza hakuna kitabu kinaitwa Koloani...pili biblia sio neno la Mungu na wa waislam hawajaambiwa waifate biblia kitabu alichopewa yesu ni injili sio biblia kwanza hiyo biblia hajawahi hata kulisikia wala kulitamka...na hata injili yake alikuja nayo haipo wameichakachua kilichopo ni injili ya lula,matayo,yohana ya Yesu iko wapi...au mnata kusema yesu alikuwa anatembea kina luka,matayo,yohana,marko na kuhubiria watu...biblia imekuja miaka 300 baada ya yesu kuondoka mkusanyika wa vitambu mbali na waandishi 40 wasiojulikana ndio wakaandika bible ya kwanza ikiwa kwa lugha ya kigiriki na kilatin na bible zingine zote zimetafsiriwa pale lugha ambayo hata yesu alikuwa haizungumzi...hata jina JESUS sio la kwake ni jina la kilatin hata leo jina jesus hulikuta mashariki ya kati ila nenda spain na latin america ndio utakuta hilo jina yeye juna lake mama yake alimuita ISO na jina lingine Yoshua.!...mmekuja kusema malaika alimuambia mtoto atakae zaliwa jina lake ataitwa emanuel nitajien sehem yoyote kwenye bible yesu aliutwa au kutajwa kwa jina hilo...yesu jina alilopewa kutoka mbinguni ji masihi ikatasfriwa kwa kigiriki kuwa kristos na kiingereza ndio crirst...sio emanueli.!..

Naawapien wakristo mna nafasi moja ya kuish kama unausoma ujumbe huu hauji kwa bahati mbaya ni Mungu ameamua kukuonesha kesho usije kumlaumu ni jukumu lako kumtafuta Mungu wa kweli ukijifanta shingo ngumu shauri yako maana amesema hatuta muhukumu yoyoye ila yule tu tuliempelekea ujumbe..!

Hebu weka asbabu ya ayat hii
IMG_20180911_112515_009.jpg
Imeshuka wapi, na baba yake kassim kaifundishaje¡!¡ nyini maislam dirisha dogo mnatupigia kelele sana hamjui kwamba hamjui ndio sababu waarabu Wenye deen yao wanawaona
IMG_20161005_172807.jpg
Leo LAZIMA uniambie hiki
IMG_20180911_161326_403.jpg
IMG_20180911_161528_966.jpg
IMG_20180911_161411_414.jpg
"KITABU" kilicho shushwa kabla ya Baba kassim ni kitabu gani? Wafuasi wake kina nani?!
 
Padri kiranga
Umezungukaaaa weeeeeeeeee mwisho baada ya kugoogle ndio ukaja na link unazozitaka

Sasa nionyeshe wapi nilikuambia sielewi ninachosimamia?
Umetaka nitoe maandiko kutoka Biblia, Quran na wana falsafa.

Nikakupa maandiko ya Biblia, ukashindwa kuchambua.

Ukatoa kisingizio kwamba unataka nitoe maandiko yote, ya kuhusu Biblia, Quran na wanafalsafa.

Ukasemaunatakayote kwa pamoja.

Nikakwambia, ukishindwa kujadili ya Biblia, hayo mengine hutaweza kabisa.

Hayo mengine sijayaweka ili ujibu, najua huwezi.

Nimeweka kuuonesha umma wa JF kwamba ile habari yako ya kutaka niwekeyote ili ujibu, ilikuwa hadaa tu, huwezi kujibu.

Hata nikiweka yote.

Nimekunyima kisingizio tu cha kushindwa kujibu.

Huelewi unachosimamia.

Kwa sababu dakika moja unaniambia niweke habari zote ndiyo uzijibu, nikikuwekea, hutaki kujibu unaleta mizozo isiyo kichwa wala mguu.

Kwa sababu huwezi kujibu.
 
Padri tulia upate daawa , nionyeshe ni wapi nilikuambia Kwamba sielewi ninachokisimamia ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom