Mtumbwi wapinduka mto Rutamba, watu kadhaa wapotea

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Mkandarasi Steven Roadworks au kwelukila ametumbukia katika mto Rutamba baada ya mtumbwi kupinduka mmoja kaokoka akiwa hai Kwelukila name mwenzake hawajapatikana bado .Tuwaombee
 
Mwandishi umekurupuka . Habari yako inaacha maswali mengi kuliko taarifa uliyoitoa
 
Pumzika Kwelukila nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 pale kwake ghorofani ndio palikua sehemu ya kuangalizia movie za Rambo kwa vijana wa miaka ile.
 
Back
Top Bottom