Mtulia uliyowafanyia wana Kinondoni yanatosha, jitoe tu kwenye uchaguzi

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,907
Ndugu yangu mtulia,

Najua hujatulia ila utatulizwa tu.

Mwaka 2015 tulikuchagua uwe mbunge wetu kwa mbwembwe.Tulikutuma kwa lengo moja tu.Uende kusimamia serikali ni kusimamia maslahi yetu.Jimbo letu la kinondoni lina changamoto nyingi sana na tangu tukuchague hatujawahi kukusikia ukizisemea changamoto hizo.Zaidi umekuwa ukitoa futari za kichoyo na wengi tuliokuwa tukifika kwenye hizo futari tulikuwa hatushibi.

Ndugu yangu mtulia,bado hospitali zetu na zahanati zina changamoto nyingi sana,rushwa,ukosefu wa madawa,ukosefu wa wahudumu na mbaya zaidi ni mazingira magumu ya kutolea huduma.

Mtulia,kama hujui hata ile miradi ya barabara ambayo ilikuwa inafanyika taratibu ilidorora zaidi,huku barabara zikijengwa chini ya kiwango na wewe mbunge wetu upo tu.Tulipofuatilia ukadai eti pesa hazitoshi.

Sisi wanakinondni tunaumia sana tunapoona ndugu zetu bado wanakosa madawati ya kukaa shuleni pamoja na kwamba tunalipa kodi kubwa sana.Hivi wewe bungeni ulifuata ruzuku ama ulienda kutulia kama jina lako lilivyo.

Miaka miwili ikapita halafu bila aibu ukajiuzulu tena bila kutoa sababu za maana.Tukarudia kukuuliza sbb hukusema.Ila sasa kiroja ni kwamba tumerudia uchaguzi na wewe unataka tukuchague tena.

Nikuulize wewe Mtulia ulisahau nini kinondoni?Hizo pesa walizokupa hao CCM hazitoshi?Kwa akili zako unafikiri sisi ni wajinga tukuchague tena msaliti wewe.Hebu jitazame halafu ujifikirie una lipi jipya?

Ushauri wangu kwako ni huu,kuepuka aibu ya kunyimwa kura hata na michepuko yako nakushauri tu ujitoe kwenye uchaguzi,ila kama unataka twende tukutani kwenye sanduku la kura.Usidanganywe kuwa watakuibia kura..Hakuna hata mwana ccm mmoja anayekuunga mkon.Wanakutazama tu kwa dharu halafu wanasema "PUMBAV"
 
CCM ingejuwa cdm itasimamisha mgombea wasingempitisha Mtulia kwani ni mweupe lakini ndio hivo imebidi wamsimamishe yeye kwa sababu moja tu nayo ni million 600 alizokopa ni lazima zirudi na CCM haina uwezo wa kumgawia million 600 za kulipa madeni bali ni kumuonga nafasi ya kugombea ili arudi bungeni kulipa madeni anayodaiwa ndio maana wana Kinondoni tumebebeshwa zigo ili la Mtulia na kwa hali ilivo hivi sasa sidhani kama wana kinondoni wako tayari kuubeba mzigo huo
 
Mtulia alishinda ule uchaguzi kwakua hata ccm walimchoka Iddi Azan. Mtulia kichwani hamna kitu, sera yake ni kuwahakikishia ccm kua yeye siyo msaliti isipokua anampenda Magu ndiyo maana aliwasaliti cdm.
 
binafsi nawaasa wana KINONDONI msimpigie hata kura moja uyo bwege, viongoz wa namna iyo hawana sifa kabisa ya kutuongoza wana KINONDON!! mungu amdhalilishe uyo ampige chin ili aone joto ya jiwe
 
Mkimchagua atahania chama kingine tena. Chenye maslahi zaidi kwake.
 
amekusiki mkuu!!

Back
Top Bottom