Mtulia rasmi CCM, poleni mliofanya harakati juu yake 2015

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
KINONDONI, DAR: Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia amekabidhiwa rasmi kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mapema leo katika ofisi za chama hicho.
IMG-20171204-WA0083.jpg
IMG-20171204-WA0082.jpg
IMG-20171204-WA0081.jpg

YALIYOSEMWA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA KINONDONI KUPITIA CUF MAULID MTULIA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA KADI YA CCM LEO JUMATATU TAREHE 04/12/2017

"Nimejivua nyadhifa zangu zote ya Ubunge wa Kinondoni na vyeo vyote nilivyokuwa navyo CUF na kuamua kujiunga na CCM kutokana na kuridhishwa na CCM ya sasa na utendaji wa Rais Dk. Magufuli" - Mtulia

"Mimi ni mgeni na salamu ninayoijua ya CCM ni CCM Oyeee" - Mtulia

"Nimejiunga na CCM ili kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais Dk. Magufuli" - Mtulia

"Nimetoka kwenye chama chenye migogoro mingi, nimekuja kwenye chama chenye amani, haki na Demokrasia ya kweli" - Mtulia

"Ningekuwa Mbunge kupitia CCM ningefanya mengi makubwa zaidi" - Mtulia

"Sijaja CCM kutafuta cheo bali nimetumia haki yangu ya kidemokrasia ya kujiunga na chama chochote kile ninachokitaka" - Mtulia

"Kila jambo nililokuwa namwomba Rais tena hadharani (mfano wakati wa ufunguzi wa maghorofa) ameyatekeleza kwa kiwango kikubwa" - Mtulia

"Nawashangaa Viongozi wa Upinzani wanaopinga na kususa mambo ya Serikali na shughuli za Bunge, hizo shida za Wananchi Nani atawatatulia endapo wanawasusia wenye mamlaka?" - Mtulia

"Nipo tayari kuwa hata Balozi wa nyumba kumi na ikishindikana nitaenda kuvua samaki nyumbani Rufiji" - Mtulia

"Nawahaidi wana CCM watafurahia uwepo wangu na watanufaika nami ndani ya CCM" - Mtulia

"Nawaambia wana Kinondoni wasikosee, wachague Mbunge anayetokana na CCM. Wachague CCM siku zote" - Mtulia

IMETOLEWA NA;

Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
UVCCM Taifa
 
FB_IMG_1512384943443.jpg
IMG_20171204_125632_991.JPG
 
Alikuwa CHADEMA? Obsession mbaya kuliko
Chadema ndio walimpigia kura wakakesha wakijikomba CUF ili lowasa apate kura za wana CUF Zanzibar ambako Chadema hawana hata diwani.Huyu kura zake zilikuwa za wana Chadema hadi mawakala alipewa na Chadema.Kuondoka kwake pigo kwa Chadema sio CUF
 
YALIYOSEMWA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA KINONDONI KUPITIA CUF MAULID MTULIA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA KADI YA CCM LEO JUMATATU TAREHE 04/12/2017

"Nimejivua nyadhifa zangu zote ya Ubunge wa Kinondoni na vyeo vyote nilivyokuwa navyo CUF na kuamua kujiunga na CCM kutokana na kuridhishwa na CCM ya sasa na utendaji wa Rais Dk. Magufuli" - Mtulia

"Mimi ni mgeni na salamu ninayoijua ya CCM ni CCM Oyeee" - Mtulia

"Nimejiunga na CCM ili kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais Dk. Magufuli" - Mtulia

"Nimetoka kwenye chama chenye migogoro mingi, nimekuja kwenye chama chenye amani, haki na Demokrasia ya kweli" - Mtulia

"Ningekuwa Mbunge kupitia CCM ningefanya mengi makubwa zaidi" - Mtulia

"Sijaja CCM kutafuta cheo bali nimetumia haki yangu ya kidemokrasia ya kujiunga na chama chochote kile ninachokitaka" - Mtulia

"Kila jambo nililokuwa namwomba Rais tena hadharani (mfano wakati wa ufunguzi wa maghorofa) ameyatekeleza kwa kiwango kikubwa" - Mtulia

"Nawashangaa Viongozi wa Upinzani wanaopinga na kususa mambo ya Serikali na shughuli za Bunge, hizo shida za Wananchi Nani atawatatulia endapo wanawasusia wenye mamlaka?" - Mtulia

"Nipo tayari kuwa hata Balozi wa nyumba kumi na ikishindikana nitaenda kuvua samaki nyumbani Rufiji" - Mtulia

"Nawahaidi wana CCM watafurahia uwepo wangu na watanufaika nami ndani ya CCM" - Mtulia

"Nawaambia wana Kinondoni wasikosee, wachague Mbunge anayetokana na CCM. Wachague CCM siku zote" - Mtulia

IMETOLEWA NA;

Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
UVCCM TaifaView attachment 643756View attachment 643757
SILLY SEASON HOYEEE!!!!!!!!!!!
 
Very good Mh.Mtulia,hata Mtume SAW alihama Makka to Madina kwa hiyo watu wasikuzogowe
Muhimu kuwa Muungwana na omba msamaha kwa wote wale waliokupigania kwa hali na mali na dua zao mpaka ukapata Ubunge,haikuwa ni ujanja wako bali ni matakwa yake ALLAH uwe mbunge kupitia CUF.Huko uliko sasa chapa kazi,tuletee maendeleo,barabara,shule na saidia watoto wetu mikopo ya elimu ya juu.
Watu husema historia hujirudia,naogopa ya Mh.Msabaha yasijirudie....na ALLAH ndiye mjuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom