Mtulia: Nitamwaga magari ya kubeba taka katika Kata zote wilayani Kinondoni

Yaani hapo ndo tutajua kwa wakazi wa Kinondoni, akili kubwa na ndogo, mtu anaacha kazi kwa makusudi halafu anataka tena..?
FB_IMG_1517511805694.jpg
 
Eeeeeeh
Chadema hawakumgawia pesa za sijui ruzuku sijui za nini wanazopewa.. aendeleze majimbo ha ha haaaa
Na zake za kuendeleza jimbo itakuwa alitumia kwa mengine jimboni

Sasa atazipata na kuendeleza

Napita bye
Andika vizur ueleweke wewe na kiherehere kama mshipa mbele upo nyuma upo. Kazi za pesa za ruzuku ni kununulia magari ya taka? Muulizeni huyo mtulia amesahau nini kwenye ubunge?
 
Andika vizur ueleweke wewe na kiherehere kama mshipa mbele upo nyuma upo. Kazi za pesa za ruzuku ni kununulia magari ya taka? Muulizeni huyo mtulia amesahau nini kwenye ubunge?

Unajuwa wapi milembe?
Wewe soma eti niandike muzuri.. halafu wewe jibu ya nimeandika..eeeeeeeh
wacha kupenda muteremko.. fikira nje ya boksi huwezi weye.. eeeeh bomu
 
Alivyopewa dhamana miaka mitatu alifanya nini! Huyu ni mzigo kwa wananchi. Mchumia tumbo hatufai
 
Ni muda mwafaka wa kufanya utafiti juu ya uelewa wa wana kinondoni
 
Haha mwambieni tu bei truck la mchina la bei rahisi halipungui usd50000 sasa kinondoni si chini ya truck kumi yaani hapo inahitajika kama usd500000 basi tuseme kwa mwez apokee na kila kitu usd 8000. Basi tumuongezee na mwaka mmoja wa ziada yaan mpaka sasa awe amebakiza miaka minne bila kukatwa chochote total salary n 384000. Huku hajahonga hajalipia chooo. Bado atatakiwa aongeze kama usd 116000 hizi atazitoa wapi?
 
Unajuwa wapi milembe?
Wewe soma eti niandike muzuri.. halafu wewe jibu ya nimeandika..eeeeeeeh
wacha kupenda muteremko.. fikira nje ya boksi huwezi weye.. eeeeh bomu
Hahaha.ngona nishie NAPE.MENGINE ni makosa ya walimu wa insha
 
Back
Top Bottom