Mtulia kampeni yake ngumu sana.Nawaonea huruma wapiga debe

unasema ukweli mkuu! mtu umeacha ubunge kwa hiari yako tena unaomba uchaguliwe? very fool
 
Yaani umeacha ubunge kwa hiari halafu unagombea tena na kuanza kuomba kura upya!!!Inahitaji roho ngumu na ya ajabu sana. Nawaonea huruma watakao mkapenia.
Salum Mwalim atashinda kabla hata Sabato haojakolea vizuri tar 17 Feb
Mkuu Hakuna ugumu hapo, kinachofanyika ni kupitisha utaratibu wa kidemokrasia, huyo ndo mbunge wa kinondoni, mnataka mistake, nani achague upinzani wa sasa?, kila siku mnabadilisha gia,
 
Kama **** madiwani walijiuzuru wakiwa cdm baadae wakagombea kupitia ccm wakashinda sion ni kipi kitasababisha Maulid ashindwe ukizingatia mazingira ni yale yale ya chaguzi za madiwani.
 
Mkuu Hakuna ugumu hapo, kinachofanyika ni kupitisha utaratibu wa kidemokrasia, huyo ndo mbunge wa kinondoni, mnataka mistake, nani achague upinzani wa sasa?, kila siku mnabadilisha gia,
kati ya ccm na chadema kina nani wamebadili gia mpaka wakaamua kuvunja katiba ya chama kwa kupendekeza majina ya wagombea pasipo kufanya mchakato wa kura za maoni?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam Mkuu hiyo ndiyo njia yake ya kuingia mjengoni. Kuna hatari wapiga kura wengi kuumizwa hata kuuwawa pia ili kushinda kwa gharama yoyote na ZWAZWA Mtulia atue mjengoni.
Yes!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani umeacha ubunge kwa hiari halafu unagombea tena na kuanza kuomba kura upya!!!Inahitaji roho ngumu na ya ajabu sana. Nawaonea huruma watakao mkapenia.
Salum Mwalim atashinda kabla hata Sabato haojakolea vizuri tar 17 Feb
Acha kulazimisha matamanio ya moyo wako yawe hali halisi,utapata ugonjwa wa kisukari
 
Mkuu uelewa wa SHITHOLE BRAIN ni SIFURI.

kati ya ccm na chadema kina nani wamebadili gia mpaka wakaamua kuvunja katiba ya chama kwa kupendekeza majina ya wagombea pasipo kufanya mchakato wa kura za maoni?
 
Mkuu Hakuna ugumu hapo, kinachofanyika ni kupitisha utaratibu wa kidemokrasia, huyo ndo mbunge wa kinondoni, mnataka mistake, nani achague upinzani wa sasa?, kila siku mnabadilisha gia,

Hapo pa mnataka msitake ndio tunapopataka, hii ndio ile ninayosema ccm haikubaliki na sio imara kama inavyohubiri bali ni kwa kuwa inafaidika na nafasi ya mwenyekiti wao kuwa amiri jeshi mkuu. Iwapo rais atatoka nje ya ccm hapo ndio itakuwa mwisho wa ccm. Huo uchaguzi ndio utawatia ccm kwenye aibu ya karne iwapo italazimisha kushinda nje ya taratibu, kwani kitendo cha cdm kususia uchaguzi uliopita na kushiriki huu, umma utataka kujiridhisha na madai ya cdm. Tunawataka mlazimishe kushinda ili hoja ya cdm kwamba kuna udictator ipate udhibitisho kwa umma na dunia.
 
Kuna watu wana bahati sana natamani mm ndo ningekua Salm Mwalm. Ubunge wa visiwani umemkimbia anakujakua mbunge wa Dar.
 
Back
Top Bottom