Mtukanaji wa mtandaoni, Shilole Kiuno akosa dhamana, apelekwa Segerea

LH XiV

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
346
350
Anayedaiwa kutumia akaunti ya Instagram ya @shilolekiuno_official apelekwa Segerea baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Kinondoni.
1481717154882.jpg
 
Kama ndiye huyu mbona page yake inaonekana iko active bado ana update?
 
Shyeeeh...!!! buti ya afande nimeielewa nitaiagiza kwa ajili ya send off.
 
Back
Top Bottom