Jinsi maisha yalivyo magumu huku uraiani kijana wa watu kaona bora akale ugali wa bure jela,Anayedaiwa kutumia akaunti ya Instagram ya @shilolekiuno_official apelekwa Segerea baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Kinondoni.View attachment 446113
Anayedaiwa kutumia akaunti ya Instagram ya @shilolekiuno_official apelekwa Segerea baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Kinondoni.View attachment 446113
cheq huyo kwenye picha nyuma ya polis upande wa kulia anavyomuangalia masaburiAnayedaiwa kutumia akaunti ya Instagram ya @shilolekiuno_official apelekwa Segerea baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Kinondoni.View attachment 446113
Chezea Kumbalala wewe !!!Naona hilo jina lake naona linaakisi na yeye alivyo kimaumbile.
Ona alivolegea....
hakosi kirago kizuri huko aendakoNaona hilo jina lake naona linaakisi na yeye alivyo kimaumbile.
Ona alivolegea....
Anacho ndio maanamwanume unaazaje kujiita shilole kiuno?.....
Huyu Ni kijana wa timu Kiba?Hapo Madale roho zao kwatuu.
hivi SHILAWADU ndio nini? Hili neno nalisikia sanaHuyu akifungwa atagombaniwa gereza zima.
Shilawadu utawajua tu wengi wamekunja suruali.
SHirika LA WAmbea DUniani (Group inayoendesha program mojawapo Clouds TV )hivi SHILAWADU ndio nini? Hili neno nalisikia sana