Mtukanaji wa mtandaoni, Shilole Kiuno akosa dhamana, apelekwa Segerea

Account hiyo naona inaendelea kutoa lugha chafu, nimeona wameanza na wolper sasa.

KADA
 
Daah huyo jamaa naona kama anamfanania yule utingo wa Dar, kwani ni ndugu?
 
Kumbe watukanaji ndio wanamuonekano huu. Mtoto wa kiume kajilegezaa, unafikiri atafanya kazi gani zaidi ya kutafuta mabwana online.
 
Kumbe watukanaji ndio wanamuonekano huu. Mtoto wa kiume kajilegezaa, unafikiri atafanya kazi gani zaidi ya kutafuta mabwana online.
Huyoookunasehemuu kapitishwasioo yeye... Kapatashuhuliipevuu jichoohilo
 
Khaah! Kutoa maneno kama ya huyo kijana, inahitaji kujawa na pepo wachafu wasiopungua sabini!
Na sasa hivi account yk kaigawa kwa wenzie...matusi yke hapana..unawaza huyu ni binadam aliyeumbwa na Mungu au..
 
Back
Top Bottom